Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Logic ndio kitu hamna.
Mnabebeka na mihemuko ya kiitikadi na matango pori mnayorishwa kwenye vijiwe vya gahawa na aljazeera
Kama unaweza kusema uzayuni ndio sababu kuu ya mitafaruku duniani huku ukishabikia jihad ya kukata vichwa watu kaskazini mwa naijeria then wewe sio solution ya tatizo lolote bali mchochea moto ambaye unastahili b2 bomber juu yako.
🇺🇸🇮🇱⚔️ FOREVER.
Leta matusi upate unachostahili