CCM haijawahipo kubadili mwenyekiti wa Chama zaidi ya anaekuwa Raisi ndie awe mwenyekiti wa Chama, hivi ni kweli ndivyo inavyotakiwa? Utaratibu huo mmeutoa wapi?
Sasa kuna watu wanapiga makelele eti Vyama vya Upinzani wenyeviti wao ni Wafalme kwa hilo ndugu zangu wa CCM mliopoteza muelekeo sahauni halipo wala halina upaumbele wa kujadiliwa na kuonekana ni suala nyeti na muhimu kwa sasa vyama vyetu vipo katika vita dhidi ya nduli CCM, adui mkubwa wa nchi hii.
Wenyeviti wa vyama vya au vilivyopo vya Upinzani msije mkapandishwa mkenge na kutaka jambo hili lifanyike eti tu ni kudumisha demokrasi,demokrasi ipo ila sio kwenye inner core ya uongozi wa Chama.
Isipokuwa kunapotokea kifo,matatizo ya wazi kabisa kama yale yaliyoikumba CUF kwa nyakati zote mbili kuanzia na Mapalala na hadi uwepo wa Lipumba, kwanini CCM mnataka Rais ndio awe Mwenyekiti wa Chama, hivi haiwezekani kwa upande wenu kuachana na hili basi na makamo wa Raisi awe katibu na Waziri Mkuu nae awepo.
Upinzani hilo litafikiriwa baada ya kushika hatamu za Nchi na sio sasa wakati tumo ndani ya mapambano mnakumbuka Lipumba aliondoka kwenye kilele cha uchaguzi akajiuzulu hewa kilichotokea ni mfano hai, hivyo mataga tulieni kama kuku wanaolalia mayai viza.