Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri halafu CCM inanunua mabasi ya gharama

Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri halafu CCM inanunua mabasi ya gharama

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri wa umma kisha chama ambacho kinajinasibu kipo kwa ajili ya kusaidia wananchi kinanunua mabasi mengi kwa gharama kubwa huku wananchi wakiteseka na usafiri wa umma. This has to end

OKTOBA 29 MAANDAMANO
 
20250919_172606.jpg
Halafu Wenyewe wanakuambia KAZI NA UTU
 
Ukishindwa kabisa, rusha jiwe! Pasua kioo! Halafu kimbilia mbali huko mtoni au milimani ili wasikukamate. Na usimuambie mtu! Maana wakikufahamu tu, hawachelewi hao kuja kukuteka na kwenda kukua.
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
OKTOBA 29 MAANDAMANO
Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri wa umma kisha chama ambacho kinajinasibu kipo kwa ajili ya kusaidia wananchi kinanunua mabasi mengi kwa gharama kubwa huku wananchi wakiteseka na usafiri wa umma. This has to end


OKTOBA 29 MAANDAMANO
💯✌🏿📌🔨OKTOBA 29 MAANDAMANO
 
Back
Top Bottom