Haiwezekani Wasabato kuhubiri neno la Mungu bila kutaja Kanisa Katoliki? Au ni mafunuo? au mbinu za kupata na kutunza wafuasi?

Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.
🤣🤣🤣🤣
Imebidi nicheke kwanza. Mungu ni Msabato...mlimbatiza kwa maji mengi? Anakuwa msabato ili apate nini? Na yeye asali Jumamosi?

Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.

Hiyo enzi na enzi ni tokea lini? Hilo kanisa limeanzishwa lini?
 
Wako shallow sana kitheolojia.
 
Alafu hata hawajibiwi.

Inauma sana ukijipanga kwa vita kwa silaha kibao alafu adui yako anakudharau.
Na hii ndo silaha kubwa sana kwa wakatoliki. Utuseme uwezavyo, tunakuangalia, baada ya hapo kwenye kitimoto na bia. Dominika tunaenda zenu kanisani. Ukiupenda ukatoliki, wewe mwenyewe, tafuta kanisa liliko then fuata taratibu zake kwishaa..!! Huutaki ukatoliki baki huko uliko hakuna mtu atakuja kukuhubiria uingie ukatoliki.
 
Umesahau walitabiri siku ya mwisho wakafeli, wakati kitabu kiko wazi hakuna aijuaye siku iyoo , hata Yesu wao haijui.
 

Yakobo 1:26-27
Mtu akidhani kuwa ana dini na huku hautawali ulimi wake, anajidanganya mwenyewe na dini yake ni bure. Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu.

 
Bibilia ndio inawaongoza kutoa hicho kichapo? yaani inamaana mko kwa ajili ya kushindana, kwanini mnajihesabia haki?
 
Huwezi kuwa mtu wa MUNGU bila sabatho.waebrania 4;9 imesalia raha ya sabato kwa watu wa MUNGU. Je km huna sabatho unaweza kuwa mtu wa MUNGU? JIBU NI HAPANA kwa sababu tumeonya tusije tukaasi sabatho waebrania 4:10
Vipi, kuhusu, Ndugu, Ibrahim, Isaka n Yakobo walikuwa watu wa Mungu?
 
Wewe umejaa chuki dhidi ya Wasabato. Post zako zote ni kuwasimanga wasabato na kuwanenea mabaya. Acha kueneza chuki. Wasabato wanahubiri kilichopo kwenye Biblia, kwa nini wewe uumie?? Acha chuki, haitakusaidia katika imani hako
 
Vipi, kuhusu, Ndugu, Ibrahim, Isaka n Yakobo walikuwa watu wa Mungu?
NDYO WALIKUWA WATU WA MUNGU NAO WALIKUWA WANASHKA SABATHO.Ndyo mana kwenye amri ya MUNGU IMEANDIKWA IKUMBUKE SABATHO KWA MAANA WANAKUMBUSHWA KITU AMBACHO KILIKUWEPO WAKAJA WAKAISAHAU UTUMWANI MISRI KWA ZAIDI YA MIAKA 400
 
Acha uongo, lini mlipambana na ushoga wakati Mungu wenu anawafundisha msamehe...

Mashoga na wabakaji wanatakiwa kushughulikiwa haswaa..

Umewahi kujiuliza mbona Mungu wenu anahubiri kusamehe halafu yeye ameweka wazi kua atawaadhibu watu siku ya mwisho, yani hatasamehe wakati mmeumbwa kwa mfano wake...
 
Wasabato wana hoja wasikilizwe ... Ibada ya masanamu ni moja ya ibada ya kijinga ..
 
Wajinga tena sana! Bibilia ni Kitabu cha Wakatoliki - So waachane nacho hicho waje na kitabu chao kwanza ndo waendeleze Chuki zao
 
Mimi ninawasifu kwa kututengenezea madem wasi na gharama.
Dem wa kisabato ukimpata usimbadilishe wala usikubali abadilishe dhehebu kutoka huko alipo.
Huwa hawana makuu, bajeti zao ni kumnunulia kitana au chanuo, mafuta ya mgando kwa ajili ya kujipaka (Petroleum Jelly), no nyama, atataka ale uyoga, chakula kipikwe chukuchuku au kama ni viungo viwe na karanga, nyanya, vitunguu na pilipili.
 
Mkuu umewajibu kwa hoja vile inavyotakiwa.
 
NDYO WALIKUWA WATU WA MUNGU NAO WALIKUWA WANASHKA SABATHO.Ndyo mana kwenye amri ya MUNGU IMEANDIKWA IKUMBUKE SABATHO KWA MAANA WANAKUMBUSHWA KITU AMBACHO KILIKUWEPO WAKAJA WAKAISAHAU UTUMWANI MISRI KWA ZAIDI YA MIAKA 400
Hizo amri walipewa wapi, mbona unakuwa muongo? Huko utumwani walikuwa wanamfahamu Mungu?
 
Wapo wanaoenda saluni sio wasabato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…