Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Hubirini injili zenu bila kutukana wenzenu.inawezekana.Huwezi kuelewa hayo Kwa sababu bichwa lako limeegemea kwenye miujuza.
Dhehebu pekee hapa Duniani lililofanikiwa kuijua Siri ya unabii ya vitabu VYA Ufunguo na Daniel, ni Wasabato.
RC viongozi wanaujua huo unabii ila wanajitoa ufahamu tu
May 21, 1963🤣🤣🤣🤣
Imebidi nicheke kwanza. Mungu ni Msabato...mlimbatiza kwa maji mengi? Anakuwa msabato ili apate nini? Na yeye asali Jumamosi?
Hiyo enzi na enzi ni tokea lini? Hilo kanisa limeanzishwa lini?
Dah kumbe mtu na c MUNGU.elewa fungu hilo vzur.Kulikuwa na sheria 2 zinazokinzana SHERIA YA MUNGU NA YA MAAGIZO AMBAYO MUNGU ALIMWAMBIA MUSA AWAANDIKIE AWEKE PEMBENI MWA SANDAKU LA AGANO.Yesu alipokuja aliondoa sheria ya musa ikabaki ya MUNGU ambamo ndan yake imo sabatho.
Sasa utamkirije mtu ambae hakuhusu wewe? Kwani wewe ni kondoo wa Israeli?Kanisa limeanzishwa kwa misingi hiyo... Hivyo ibada zao hazikamiliki bila kuiponda RC... Lakini napenda kuwakumbusha kwamba,, watakao ingia katika ufalme wa Mungu ni wale walio kili ya kwamba Yesu ni Bwana na kuishi katika Kristo kwa kufuata na kutenda Mafundisho yake... Hivyo Usabato, U RC, Uanglicana, UKKKT, Upentekoste ama dhehebu lolote lile,,,, halimpeleki mtu mbinguni isipokuwa Kumkiri Yesu Kristo kama nilivyo eleza hapo juu...
Hii inahusiana nini na hii mada,poor mind kwamba katika imani nyingine hakuna mademu walalamishi,wabishi na wajuaji?Nilikuwa nina kademu kanasali Sabato.
Duh kana masheria kama yoote.
Kanalalamika kutumiwa na kuacha
Kajuaji,ukikarekebisha kanaongeaa hakoo
Nimedumu nako miezi 5, nimepiga chini
Hakuna mu Adventista Msabato alitabiri uongo huo. Mwaka 2000 taharuki ya kuzima computer na mwisho wa dunia haikuletwa na Wasabato.Umesahau walitabiri siku ya mwisho wakafeli, wakati kitabu kiko wazi hakuna aijuaye siku iyoo , hata Yesu wao haijui.
Sasa utamkirije mtu ambae hakuhusu wewe? Kwani wewe ni kondoo wa Israeli?View attachment 3097095
2wakorintho4:4-6Sasa utamkirije mtu ambae hakuhusu wewe? Kwani wewe ni kondoo wa Israeli?View attachment 3097095
Hata mbiguni Sabato itakuwepoWewe husomi biblia takatifu?? Kama husomi ,huwezi mjua Mungu.
Mungu ni msabato kabisaaa nayeye anajiita Bwana wa Sabato.
Hapa ndo huwa mnafeli, Kauliza kuhusu ukristo kuwa ni kwa ajili ya waisraeli na akaweka vifungu, Mathayo 10:23 na 15:24. Badala ya kujibu alichouliza na kumuelekeza kwanini si Israeli tu bali hata wazaramo na wapare na wachaga inawahusu wewe unakuja na fungu linalohusiana na kufungwa akili, angefungwa akili angesoma biblia na kuhoji? Kuna wale ukiuliza tu swali anakuja na vifungu vya tanuru la moto. Shida ni nini?2wakorintho4:4-6
Hao hawaamini kwa sababu yule mungu wa ulimwengu huu amezitia giza akili zao wasipate kuuona wazi mwanga wa Habari Njema ya utukufu wa Kristo, ambaye ni mfano kamili wa Mungu. Maana hatujitangazi sisi wenyewe, ila tunamhubiri Yesu Kristo aliye Bwana, sisi wenyewe tukiwa watumishi wenu kwa ajili ya Yesu. Mungu ambaye alisema, “Mwanga na uangaze kutoka gizani,” ndiye mwenye kuiangaza mioyo yetu, na kutupatia mwanga wa ujuzi wa utukufu wa Mungu uangazao katika uso wa Kristo.
Ndugu,, kabla ya kuweka hayo maoni kabla nilipost marko16:16, Mk16:15-16 hebu nenda kasomeHapa ndo huwa mnafeli, Kauliza kuhusu ukristo kuwa ni kwa ajili ya waisraeli na akaweka vifungu, Mathayo 10:23 na 15:24. Badala ya kujibu alichouliza na kumuelekeza kwanini si Israeli tu bali hata wazaramo na wapare na wachaga inawahusu wewe unakuja na fungu linalohusiana na kufungwa akili, angefungwa akili angesoma biblia na kuhoji? Kuna wale ukiuliza tu swali anakuja na vifungu vya tanuru la moto. Shida ni nini?
Kumbe Wasabato hawaamini katika watu kujiita mungu wa dunia na mtoto wa munguKanisa la Sabato, ni kanisan la Mungu, na Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.
Mungu hapatani na shetani, shetani pekee ndio anafurahia ushoga , ubakaji, Ndoa za jinsia moja, kuabudu sanamu, kusali jumapili Et kisa siku ni siku tu, kujiita Mungu wa Duniani , mtoto wa Mungu, ubatizo usokua sawa na ule wa Yesu , kutofuata biblia inasemaje...
Sasa Roman wenyewe hayo yote ya juu wanayafurahia.
Na kwakua Romani ndio Babeli Mkuu , Mama wa kahaba.
Sisi wasabato tutaendelea kuwapa Kichapo Kwa msaada wa Roho mtakatifu.
Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.
Kumbe kanisa lenu ni mfano wa nguruwe? Safi kwa kulifahamu hilo.Kanisa katoliki kachagua kuplay role ya kitimoto.
Hapa duniani hakuna kiumbe kinasimangwa kama huyo jamaa,ila ndiyo kwanza anazidi kunona na kutoa mafuta.
Ndiyo RC sasa.
Acha kumzuia kusema ukweli kanisa katoliki halina tofauti na huyo mnyamaAcha kufananisha Kanisa na Nguruwe
Ok mkuu.Ndugu,, kabla ya kuweka hayo maoni kabla nilipost marko16:16, Mk16:15-16 hebu nenda kasome