Father Mkananayo
Member
- Sep 6, 2024
- 47
- 89
Mimi nimezaliwa ktk family ya kikatoliki.
Nimebatizwa,komunyo,kipaimara na ndoa pia vyote nimepata huko rc.
Katika tuhuma au mahubiri yote ya wasabato wanayo watuhumu waroma ni ya ukweli 100%
Na hivyo huwezi kusimamia na kujibu tuhuma zao.
Nilifatilia sana kujua kama ni kweli Moja kitu nilicho muuliza paroko wangu ni kuwa sabato Ni nini na lini siku ya sabato?
Kipindi hicho nikiwa mwenyekiti wa TYCSS. Alinijibu Kwa kusema sabato ni siku ya Saba ya wayahudi. Siku hiyo ndo siku ya ibada Kwa mujibu wa biblia zote tunazo tumia.
Ukiona rc tuko kinyume na biblia na Mungu pia soma mwenyew amri kumi za Mungu pale kutoka 20:1-19.
Kwanza Mungu kakataa kujifanyia sanamu. Hayo yapo Hadi dk hii makanisani mwetu.pia kaamuru kushika sabato na kuitunza kule imeondolewa vilevile.
Na katika kufidia zile amri Ili zifike kumi Ile amri ya kutamani ikamegwa mara2
Yaani walisema usitamani Mali ya jirani
Tena wakasema usitamani mke wa jirani. Ukiwa na akiri ya kawaida tu utajua hapa hakuna tofaut kati ya kutamani nyumba ama gari ni Sawaswa tu nakutamani shamba au mti wa jirani Yako.
Papa anaitwa Baba mtakatifu (hili yesu alilikataa) alisema Tena msimuiye mtu Baba duniani Kwa maana Baba yenu ni mmoja.
Swala kutubu dhambi ni mdhambi na Mungu mwenyewe walakini huku kwetu tunaungama Kwa padri dhambi zetu.
Maandiko yanatuambia anepaswa kusujudiwa ni Mungu pekee rc ni tofauti padri,askofu na papa husujudiwa.
Kwahiyo wasabato wanapo tuandama basi tujue wazi wanatuelekeza kuwa Hivi na vile haipaswi Kwa sababu wote tunatumia biblia Moja Ile Ile.
Kosa lao liko wapi? Ni nani asiye jua kuwa mkuu wa ulimwengu huu ni papa(joka)?
Shida yetu sisi wakatoliki biblia tunasomewa tu na ukitoka huko upo empty set
Yaani Unakutana na SoMo la kwanza la pili na injiri basi kateksita atafafanua anavyojua yeye uelewe usielewe imetoka hiyo! Lkn Kwa wenzetu ni tofauti kati ya watu 10 utakao kutana nao 7-8 Wana biblia na wakifika church wanakuwa busy na biblia pastor akitaka fungu anahakikisha wote wamefika na anasoma yoyote aliyefika Hilo fungu/Aya. Sisi ana andaliwa wa kusoma SoMo la kwanza na la pili na yeye ukimuuliza baada ya ibada hakumbuki.
Wakatoliki kati ya watu 50 utakao kutana nao basi 1-2 ndo utawaona Wana biblia na wote hata anaweza fika kanisani na asiitumie na akifika nyumbani inawekwa kwenye kabati au kwenye bag la nguo Hadi jpili ijayo Tena.
Lakini ukienda family ya msabato biblia na baadhi ya vitabu vyao utavikuta mezani sebreni hii ni lazima utakuta na kwenye familia lazima ukutane na biblia zaidi ya 3+ kulingana na watu waliopo.
Tuta laumu sana wasabato hili Kuna kipindi nilikuwa nakaimu u kateksita nilikuwa nawaambia hadharani wasabato kwann wanatuzidi sana kusoma maandiko wao Wana Nini hasa?
Jambo jingine ambalo lilisababisha waniondoe uenyikiti wa jumuiya ni kupambana mwanajumuiya wangu apate haki ya mazishi ya mtoto wake licha ya kuwa alikuwa hatoi mchango.
Wanajumuiya walikataa na kumwambia paroko kuwa huyu Huwa hatoi michango Leo kapatwa na tatizo anataka huduma sisi hatupo Tyr.
Paroko akaniambia nikasema nikweli hatoi michango lkn ni muumini mwenzetu hakujali mtoto akazikwa na walokole nikaachia uenyikiti wa jumuiya tangu siku hiyo.
Ukitaka kujua kwanini sisi hatu wa challenge wasabato utagundua Kila wanachosema Wana USHAHIDI nacho wa maandishi na huwezi bishi utaumbuka na viongozi wetu wote wanajua kabisa kuwa yote yanayosema na jamaa Hawa ni ya kweli.
Tubadirike. Tuache majungu.
Ukija kwao nao wasabato wanajiona sana na wao Wana madhaifu Yao mengi tu.