Haiwezekani Wasabato kuhubiri neno la Mungu bila kutaja Kanisa Katoliki? Au ni mafunuo? au mbinu za kupata na kutunza wafuasi?

Mimi nimezaliwa ktk family ya kikatoliki.
Nimebatizwa,komunyo,kipaimara na ndoa pia vyote nimepata huko rc.

Katika tuhuma au mahubiri yote ya wasabato wanayo watuhumu waroma ni ya ukweli 100%

Na hivyo huwezi kusimamia na kujibu tuhuma zao.

Nilifatilia sana kujua kama ni kweli Moja kitu nilicho muuliza paroko wangu ni kuwa sabato Ni nini na lini siku ya sabato?

Kipindi hicho nikiwa mwenyekiti wa TYCSS. Alinijibu Kwa kusema sabato ni siku ya Saba ya wayahudi. Siku hiyo ndo siku ya ibada Kwa mujibu wa biblia zote tunazo tumia.

Ukiona rc tuko kinyume na biblia na Mungu pia soma mwenyew amri kumi za Mungu pale kutoka 20:1-19.

Kwanza Mungu kakataa kujifanyia sanamu. Hayo yapo Hadi dk hii makanisani mwetu.pia kaamuru kushika sabato na kuitunza kule imeondolewa vilevile.

Na katika kufidia zile amri Ili zifike kumi Ile amri ya kutamani ikamegwa mara2

Yaani walisema usitamani Mali ya jirani

Tena wakasema usitamani mke wa jirani. Ukiwa na akiri ya kawaida tu utajua hapa hakuna tofaut kati ya kutamani nyumba ama gari ni Sawaswa tu nakutamani shamba au mti wa jirani Yako.

Papa anaitwa Baba mtakatifu (hili yesu alilikataa) alisema Tena msimuiye mtu Baba duniani Kwa maana Baba yenu ni mmoja.

Swala kutubu dhambi ni mdhambi na Mungu mwenyewe walakini huku kwetu tunaungama Kwa padri dhambi zetu.

Maandiko yanatuambia anepaswa kusujudiwa ni Mungu pekee rc ni tofauti padri,askofu na papa husujudiwa.

Kwahiyo wasabato wanapo tuandama basi tujue wazi wanatuelekeza kuwa Hivi na vile haipaswi Kwa sababu wote tunatumia biblia Moja Ile Ile.

Kosa lao liko wapi? Ni nani asiye jua kuwa mkuu wa ulimwengu huu ni papa(joka)?

Shida yetu sisi wakatoliki biblia tunasomewa tu na ukitoka huko upo empty set

Yaani Unakutana na SoMo la kwanza la pili na injiri basi kateksita atafafanua anavyojua yeye uelewe usielewe imetoka hiyo! Lkn Kwa wenzetu ni tofauti kati ya watu 10 utakao kutana nao 7-8 Wana biblia na wakifika church wanakuwa busy na biblia pastor akitaka fungu anahakikisha wote wamefika na anasoma yoyote aliyefika Hilo fungu/Aya. Sisi ana andaliwa wa kusoma SoMo la kwanza na la pili na yeye ukimuuliza baada ya ibada hakumbuki.

Wakatoliki kati ya watu 50 utakao kutana nao basi 1-2 ndo utawaona Wana biblia na wote hata anaweza fika kanisani na asiitumie na akifika nyumbani inawekwa kwenye kabati au kwenye bag la nguo Hadi jpili ijayo Tena.

Lakini ukienda family ya msabato biblia na baadhi ya vitabu vyao utavikuta mezani sebreni hii ni lazima utakuta na kwenye familia lazima ukutane na biblia zaidi ya 3+ kulingana na watu waliopo.

Tuta laumu sana wasabato hili Kuna kipindi nilikuwa nakaimu u kateksita nilikuwa nawaambia hadharani wasabato kwann wanatuzidi sana kusoma maandiko wao Wana Nini hasa?

Jambo jingine ambalo lilisababisha waniondoe uenyikiti wa jumuiya ni kupambana mwanajumuiya wangu apate haki ya mazishi ya mtoto wake licha ya kuwa alikuwa hatoi mchango.

Wanajumuiya walikataa na kumwambia paroko kuwa huyu Huwa hatoi michango Leo kapatwa na tatizo anataka huduma sisi hatupo Tyr.

Paroko akaniambia nikasema nikweli hatoi michango lkn ni muumini mwenzetu hakujali mtoto akazikwa na walokole nikaachia uenyikiti wa jumuiya tangu siku hiyo.

Ukitaka kujua kwanini sisi hatu wa challenge wasabato utagundua Kila wanachosema Wana USHAHIDI nacho wa maandishi na huwezi bishi utaumbuka na viongozi wetu wote wanajua kabisa kuwa yote yanayosema na jamaa Hawa ni ya kweli.

Tubadirike. Tuache majungu.

Ukija kwao nao wasabato wanajiona sana na wao Wana madhaifu Yao mengi tu.
 
K
Na hii ndo silaha kubwa sana kwa wakatoliki. Utuseme uwezavyo, tunakuangalia, baada ya hapo kwenye kitimoto na bia. Dominika tunaenda zenu kanisani. Ukiupenda ukatoliki, wewe mwenyewe, tafuta kanisa liliko then fuata taratibu zake kwishaa..!! Huutaki ukatoliki baki huko uliko hakuna mtu atakuja kukuhubiria uingie ukatoliki.
Kabisa
 
Mimi nimezaliwa ktk family ya kikatoliki.
Nimebatizwa,komunyo,kipaimara na ndoa pia vyote nimepata huko rc.

Katika tuhuma au mahubiri yote ya wasabato wanayo watuhumu waroma ni ya ukweli 100%

Na hivyo huwezi kusimamia na kujibu tuhuma zao.

Nilifatilia sana kujua kama ni kweli Moja kitu nilicho muuliza paroko wangu ni kuwa sabato Ni nini na lini siku ya sabato?

Kipindi hicho nikiwa mwenyekiti wa TYCSS. Alinijibu Kwa kusema sabato ni siku ya Saba ya wayahudi. Siku hiyo ndo siku ya ibada Kwa mujibu wa biblia zote tunazo tumia.

Ukiona rc tuko kinyume na biblia na Mungu pia soma mwenyew amri kumi za Mungu pale kutoka 20:1-19.

Kwanza Mungu kakataa kujifanyia sanamu. Hayo yapo Hadi dk hii makanisani mwetu.pia kaamuru kushika sabato na kuitunza kule imeondolewa vilevile.

Na katika kufidia zile amri Ili zifike kumi Ile amri

Kweli kbsa umenena.wasabato wako njema japo wanamadhaifu yao km binadamu ila wanachosema ni kweli mtupu
 
Kanisa katoliki kachagua kuplay role ya kitimoto.

Hapa duniani hakuna kiumbe kinasimangwa kama huyo jamaa,ila ndiyo kwanza anazidi kunona na kutoa mafuta.

Ndiyo RC sasa.
Kitimoto kikipanda bei na nyama ya ng'ombe nayo kupandishwa bei ...... Leo apa kitaa bucha za ktmoto zishamaliza uza
 
Mimi nimezaliwa ktk family ya kikatoliki.
Nimebatizwa,komunyo,kipaimara na ndoa pia vyote nimepata huko rc.

Katika tuhuma au mahubiri yote ya wasabato wanayo watuhumu waroma ni ya ukweli 100%

Na hivyo huwezi kusimamia na kujibu tuhuma zao.

Nilifatilia sana kujua kama ni kweli Moja kitu nilicho muuliza paroko wangu ni kuwa sabato Ni nini na lini siku ya sabato?

Kipindi hicho nikiwa mwenyekiti wa TYCSS. Alinijibu Kwa kusema sabato ni siku ya Saba ya wayahudi. Siku hiyo ndo siku ya ibada Kwa mujibu wa biblia zote tunazo tumia.

Ukiona rc tuko kinyume na biblia na Mungu pia soma mwenyew amri kumi za Mungu pale kutoka 20:1-19.

Kwanza Mungu kakataa kujifanyia sanamu. Hayo yapo Hadi dk hii makanisani mwetu.pia kaamuru kushika sabato na kuitunza kule imeondolewa vilevile.

Na katika kufidia zile amri Ili zifike kumi Ile amri ya kutamani ikamegwa mara2

Yaani walisema usitamani Mali ya jirani

Tena wakasema usitamani mke wa jirani. Ukiwa na akiri ya kawaida tu utajua hapa hakuna tofaut kati ya kutamani nyumba ama gari ni Sawaswa tu nakutamani shamba au mti wa jirani Yako.

Papa anaitwa Baba mtakatifu (hili yesu alilikataa) alisema Tena msimuiye mtu Baba duniani Kwa maana Baba yenu ni mmoja.

Swala kutubu dhambi ni mdhambi na Mungu mwenyewe walakini huku kwetu tunaungama Kwa padri dhambi zetu.

Maandiko yanatuambia anepaswa kusujudiwa ni Mungu pekee rc ni tofauti padri,askofu na papa husujudiwa.

Kwahiyo wasabato wanapo tuandama basi tujue wazi wanatuelekeza kuwa Hivi na vile haipaswi Kwa sababu wote tunatumia biblia Moja Ile Ile.

Kosa lao liko wapi? Ni nani asiye jua kuwa mkuu wa ulimwengu huu ni papa(joka)?

Shida yetu sisi wakatoliki biblia tunasomewa tu na ukitoka huko upo empty set

Yaani Unakutana na SoMo la kwanza la pili na injiri basi kateksita atafafanua anavyojua yeye uelewe usielewe imetoka hiyo! Lkn Kwa wenzetu ni tofauti kati ya watu 10 utakao kutana nao 7-8 Wana biblia na wakifika church wanakuwa busy na biblia pastor akitaka fungu anahakikisha wote wamefika na anasoma yoyote aliyefika Hilo fungu/Aya. Sisi ana andaliwa wa kusoma SoMo la kwanza na la pili na yeye ukimuuliza baada ya ibada hakumbuki.

Wakatoliki kati ya watu 50 utakao kutana nao basi 1-2 ndo utawaona Wana biblia na wote hata anaweza fika kanisani na asiitumie na akifika nyumbani inawekwa kwenye kabati au kwenye bag la nguo Hadi jpili ijayo Tena.

Lakini ukienda family ya msabato biblia na baadhi ya vitabu vyao utavikuta mezani sebreni hii ni lazima utakuta na kwenye familia lazima ukutane na biblia zaidi ya 3+ kulingana na watu waliopo.

Tuta laumu sana wasabato hili Kuna kipindi nilikuwa nakaimu u kateksita nilikuwa nawaambia hadharani wasabato kwann wanatuzidi sana kusoma maandiko wao Wana Nini hasa?

Jambo jingine ambalo lilisababisha waniondoe uenyikiti wa jumuiya ni kupambana mwanajumuiya wangu apate haki ya mazishi ya mtoto wake licha ya kuwa alikuwa hatoi mchango.

Wanajumuiya walikataa na kumwambia paroko kuwa huyu Huwa hatoi michango Leo kapatwa na tatizo anataka huduma sisi hatupo Tyr.

Paroko akaniambia nikasema nikweli hatoi michango lkn ni muumini mwenzetu hakujali mtoto akazikwa na walokole nikaachia uenyikiti wa jumuiya tangu siku hiyo.

Ukitaka kujua kwanini sisi hatu wa challenge wasabato utagundua Kila wanachosema Wana USHAHIDI nacho wa maandishi na huwezi bishi utaumbuka na viongozi wetu wote wanajua kabisa kuwa yote yanayosema na jamaa Hawa ni ya kweli.

Tubadirike. Tuache majungu.

Ukija kwao nao wasabato wanajiona sana na wao Wana madhaifu Yao mengi tu.
Huna hoja maneno tuu, Wakatololiki billion 2 duniani wote wangekuwa wajinga

Sasa mbona genge lenu wasabato hamuongezeki kama nyie mnaihubiri kweli
 
Hakuna mu Adventista Msabato alitabiri uongo huo. Mwaka 2000 taharuki ya kuzima computer na mwisho wa dunia haikuletwa na Wasabato.
Jenga hoja usitumie hisia, halafu mnafundisha uongo dhambi ...

Soma hii 👇
Screenshot_20240916-102641~2.png

Na uongo wote huo wa kushindwa kutabiri bado wakasema hiyo siku Yesu aliingia Patakatifu pa patakatifu na ikaingizwa kwenye mafundisho ya dini.

Kama hajaelewa fungua hapa 👇 Predictions and claims for the Second Coming - Wikipedia
 
Wadau hamjamboni nyote?

Naomba sana moderator uache huru Uzi huu Tafadhali

Kichwa cha habari chahusika?

Siyo mahubiri au Vitabu kote huko lazima ukute mifano yote hasi dhidi ya Kanisa Katoliki

Napenda kujua haiwezekani ikahubiriwa injili bila kufanya hivyo?

Ni chuki? Wivu? Propaganda? Mikakati? Au mbinu za waasisi kuwa na waumini wa uhakika ndani ya Kanisa husika.

Na je wakihubiri bila kutaja Kanisa la Mitume ni itakuwa athari Kwa Kanisa hilo hususani upande wa waamini

Je waumini wanaimani na Kanisa hilo kwakuwa wamepewa mawazo hasi dhidi ya Ukatoliki au ni kwakuwa wanaimani na mafundisho ya Kanisa hilo?

Niwatakie usiku mwema
Sio wote wanafanya hivyo.....
 
Hakuna unabii wa siku za mwisho bila upapa. Na hapo ndo Catholic inaingia.
Through out the history upapa umejaribu kupingana na sheria takatifu ya Mungu na kuhakikisha nuru ya neno la Mungu haiwafikii wengi. Watu waliuawawa Sana miaka ya hapo nyuma kuitetea kweli (neno la Mungu).
Sasa hivi watu hawauwawi Ila ameingiza mafundisho ya uongo. Upapa (papa) akijiita msamehe dhambi (ambalo ni jukumu la Mungu) , muwakilishi wa Mungu duniani, mafundishi kuhusu Hali ya wafu n. k n.k

So unapoitaja sheria takatifu ya Mungu unaitaja pia sabato takatifu ya Mungu na hapo ndo Rumi ambaye anawakilishwa na upapa anapoingia. Na hakuna upapa bila Roman Catholic
Alaf
 
Hata mapadri wenu wanajua vizuri kuhusu sabato Ila wanaamua kufumba macho kwa vile hawawezi kusaliti wanapopata mkate wao.

Someni wenyewe biblia acheni kukabidhi dhamana wa wokovu wenu kwa mtu mmoja. Eti ye ye ndo anakusomea somo la siku hyo wewe huna hata biblia
 
🤣🤣🤣🤣
Imebidi nicheke kwanza. Mungu ni Msabato...mlimbatiza kwa maji mengi? Anakuwa msabato ili apate nini? Na yeye asali Jumamosi?

Hiyo enzi na enzi ni tokea lini? Hilo kanisa limeanzishwa lini?
Nikikuonyesha hapa andiko ambalo Mungu anakiri ni msabato??.

Utafanya nn
 
Mi sio msabato Wala mroma..ila karibu katika maandiko,vipeperushi nk vya wasabato nlivyopata kuvisoma yani wanawananga sana wakatoliki.hasa wakijadili kuhusu chapa 666,mpinga kristo, sijui mnyama nk.wasabato wao bwana ni waroma.
Ila uongo dhambi roman katoliki Kuna mambo hayako sawa.acheni wawaseme na watufungue macho wengine
Ukitafuta mambo ambayo hayako sawa kwenye kila dhehebu, hutakaa uyakose. Hata hapo unapoabudu inawezekana yapo kuzidi kwa Wakatoliki ila kwa kuwa waumini wengi hawataki kufikiri nje ya box ni ngumu kung'amua. Hatuhamini dhehebu kwa kuwa mchungaji kafumaniwa, kwakuwa tumeambiwa tuungame kwa padri...

Katika dunia iliyojaa maasi dhehebu moja kushambulia dhehebu lingine huku likipuuza kuhubiria vijana wasijihusishe na wizi, ushoga, ugaidi, usinzi na matendo yote kiujumla haijakaa sawa.

Je haikuandikwa kila mtu ataubeba msalaba wake?

Au siku ya mwisho unahukumiwa utamwambia Mungu mbona Michael alikuwa analipigia goti sanamu la Bikira Maria na ameingia motoni?

Matendo yaliyo mema ndio msingi wa kila kitu mengine ni ziada.

Kuna kifungu waliandika, hata uwe na imani ya kuamisha milima kama huna upendo sawa sawa na bure.
 
Wajinga tena sana! Bibilia ni Kitabu cha Wakatoliki - So waachane nacho hicho waje na kitabu chao kwanza ndo waendeleze Chuki zao
Nani alikudanganya kua biblia ni ya waroma?.

Je umesahau Roman ilivyojaribu kujiondoa biblia Dunia Kwa kuhakikisha wanazichona na kuwaua wote walikua nazo?.

Hivo kumbe JF Ina wajinga hivi, hata Historia hamjui??

Unajua nini kilimuua Papa 1798??
 
Wadau hamjamboni nyote?

Naomba sana moderator uache huru Uzi huu Tafadhali

Kichwa cha habari chahusika?

Siyo mahubiri au Vitabu kote huko lazima ukute mifano yote hasi dhidi ya Kanisa Katoliki

Napenda kujua haiwezekani ikahubiriwa injili bila kufanya hivyo?

Ni chuki? Wivu? Propaganda? Mikakati? Au mbinu za waasisi kuwa na waumini wa uhakika ndani ya Kanisa husika.

Na je wakihubiri bila kutaja Kanisa la Mitume ni itakuwa athari Kwa Kanisa hilo hususani upande wa waamini

Je waumini wanaimani na Kanisa hilo kwakuwa wamepewa mawazo hasi dhidi ya Ukatoliki au ni kwakuwa wanaimani na mafundisho ya Kanisa hilo?

Niwatakie usiku mwema
Hapo ni sawa na kusema Chadema ifanye siasa bila kuitaja CCM 😆😆😆😆😆
 
Kanisa la Sabato, ni kanisan la Mungu, na Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.

Mungu hapatani na shetani, shetani pekee ndio anafurahia ushoga , ubakaji, Ndoa za jinsia moja, kuabudu sanamu, kusali jumapili Et kisa siku ni siku tu, kujiita Mungu wa Duniani , mtoto wa Mungu, ubatizo usokua sawa na ule wa Yesu , kutofuata biblia inasemaje...

Sasa Roman wenyewe hayo yote ya juu wanayafurahia.

Na kwakua Romani ndio Babeli Mkuu , Mama wa kahaba.

Sisi wasabato tutaendelea kuwapa Kichapo Kwa msaada wa Roho mtakatifu.

Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.
Enzi zipi? Kanisa la juzi tu hapo. Kwanza nyie ata sio wakristo. Ni uchafu wa kahaba Ellen G White. Katoliki sio Roman tu.
 
2wakorintho4:4-6
Hao hawaamini kwa sababu yule mungu wa ulimwengu huu amezitia giza akili zao wasipate kuuona wazi mwanga wa Habari Njema ya utukufu wa Kristo, ambaye ni mfano kamili wa Mungu. Maana hatujitangazi sisi wenyewe, ila tunamhubiri Yesu Kristo aliye Bwana, sisi wenyewe tukiwa watumishi wenu kwa ajili ya Yesu. Mungu ambaye alisema, “Mwanga na uangaze kutoka gizani,” ndiye mwenye kuiangaza mioyo yetu, na kutupatia mwanga wa ujuzi wa utukufu wa Mungu uangazao katika uso wa Kristo.

Swali: hivi unaamini waisrael wa sasa ni wale walotajwa kwenye Biblia?

Pia kama bado huamini.. basi niambie Imani yako ambayo ndiyo inatakiwa iwe Imani yetu waafrika ama watanzania niifuate...
Mimi namuamini Mungu ambae kwa akili ya kawaida tu naona kazi zake like Dunia, Maji, Jua, Nyota, Mvua, Majira yaendayo sawa, Mwili wa binadamu ulivyo, mimea inavyokua nk

Huyu ndie naemuomba mimi, huyo wa kwenye vitabu ameshushwa sana hadhi mfano;

1. Ni mbaguzi ;
i-Amesimuliwa anajua mwanzo hadi mwisho, hii inamaanisha ana list ya watu wataoenda mbinguni.. halafu ameweka wazi - ameandaa watu wake 144,000/= tu kuishi mbinguni "soma ufunuo" ...Yani kati ya watu bilioni wataopaa mbingini ni Laki? huu ni ubaguzi tosha kwa wanaomuabudu kwa dhati inshort ameshawaandaa hao .

ii- Ukisoma biblia vizuri utagundua alibase na kizazi cha kina Ibrahim na kna daudi tu, ni kama story ya familia.. Je wale waliokua wanaishi mbali sana na huko Isreeli kwanini hakusikika kwao?

2. NI MSALITI; Sababu anadai anajua mwanzo hata mwisho cha ajabu alimuumba shetani, Bado akaendelea kufanya makosa makusudi kwa kutomzuia shetani pale bustanini.. kinachonishangaza zaidi atatuchoma moto kwa kosa lake la kumuumba shetani ambae ndo mzizi wa dhambi- huu ni usaliti mkubwa .

3. Hafuati maagizo yake mwenyewe - Anafundisha tusamehe makosa yote kabla hatujaenda kwake chaajabiu yeye hata msamehe yoyote siku ya mwisho. sasa kwanini atuadhibu sisi tunapolipiza visasi ihali ametuumba kwa mfano wake?

NB: Mungu yupo na anatenda kazi, kikubwa umuamini , utamuaminije? Simple fikiria kila kitu jinsi kinatenda kazi kiasili utagundua kuna Something behind kaunda who is God .

Wazungu wameleta hayo mavitabu mshindwe kuzitambua nguvu za Mungu kwa kutafakari ukuu wake ..

God is so Powerfull!!
 
Wadau hamjamboni nyote?

Naomba sana moderator uache huru Uzi huu Tafadhali

Kichwa cha habari chahusika?

Siyo mahubiri au Vitabu kote huko lazima ukute mifano yote hasi dhidi ya Kanisa Katoliki

Napenda kujua haiwezekani ikahubiriwa injili bila kufanya hivyo?

Ni chuki? Wivu? Propaganda? Mikakati? Au mbinu za waasisi kuwa na waumini wa uhakika ndani ya Kanisa husika.

Na je wakihubiri bila kutaja Kanisa la Mitume ni itakuwa athari Kwa Kanisa hilo hususani upande wa waamini

Je waumini wanaimani na Kanisa hilo kwakuwa wamepewa mawazo hasi dhidi ya Ukatoliki au ni kwakuwa wanaimani na mafundisho ya Kanisa hilo?

Niwatakie usiku mwema

Pengine hawamjui adui wao kiroho ni nani?
RC wana mapungufu mengi, lakini sidhani kama hiyo ndiyo iwe ajenda ya wasabato katika mahubiri yao.
 
Back
Top Bottom