Haiwezekani Wasabato kuhubiri neno la Mungu bila kutaja Kanisa Katoliki? Au ni mafunuo? au mbinu za kupata na kutunza wafuasi?

Enzi zipi hizo unazoongelea wewe labda enzi za mijusi Yani hivyo vibanda vyenu vya Juzi mnajifanya Imani Imani ipi hyo haswa?
 
Nani alikudanganya kua biblia ni ya waroma?.


Je umesahau Roman ilivyojaribu kujiondoa biblia Dunia Kwa kuhakikisha wanazichona na kuwaua wote walikua nazo?.

Hivo kumbe JF Ina wajinga hivi, hata Historia hamjui??

Unajua nini kilimuua Papa 1798??
Mjinga wewe- tena pumba kabisa.,β€’β€’Β₯$*%: In 1798, during the French Revolutionary Wars, French troops under Napoleon Bonaparte invaded Rome and captured Pope Pius VI, taking him as a prisoner to France, where he died in 1799. - haya yalikuwa mapinduzi ya Kisiasa na sio Dini!
 
Shetani ndiye anapingana na sheria za Mungu
 
Nani alikudanganya kua biblia ni ya waroma?.


Je umesahau Roman ilivyojaribu kujiondoa biblia Dunia Kwa kuhakikisha wanazichona na kuwaua wote walikua nazo?.

Hivo kumbe JF Ina wajinga hivi, hata Historia hamjui??

Unajua nini kilimuua Papa 1798??
    • Christian Bible
      The Catholic Church's canon of the Christian Bible was determined by various councils, synods, and popes, beginning with the Council of Rome in 382 AD. The Council of Trent in 1546 solemnly defined the canon after it came under attack by Protestant leaders.


    • Latin Bible
      In 382, Pope Damasus commissioned Jerome to produce a Latin version of the Bible from the various translations then being used.



    • King James Version
      The King James Version of the Bible was published in 1611 at the behest of King James I of England.
    • HAYO MADHEEBU MENGINE NA HAO WASABATO WALIANZA MIAKA GANI?
 
Ona ulivyo limakalio mamaee.

Kwahiyo hata huijui Historia ya Zama za Giza ? Hujui wakristo wangapi walouliwa na Roman ?

Hujui mpaka kuinuka Kwa Napoleon kuja kuhitimisha Mauaji na mateso ya Roman Kwa wafia ukristo.

Kama Hilo hulijui, Basi sidhan kama unafaham Mamlaka ya Kidini na kitawala ya Roman, baada ya kuuliwa Kwa papa mwaka 1798, ilikuja kurudishwa lini? Na nani??.

Mamaeee, wee ni kitumbuaaaa
 
Papa alitolewa Madarakani na Wafaransa- akuuwawa. Wapi walimuua??In 1798, during the French Revolutionary Wars, French troops under Napoleon Bonaparte invaded Rome and captured Pope Pius VI, taking him as a prisoner to France, where he died in 1799.
 
Hili tukio kulingana na Daniel ni jeraha la mauti alilopata pope Ila lilipona baada ya muda
 
Wee mjinga nini, Biblia iliandikwa na Akina Musa, Isaya , mitume wa Yesu , na kwakua zama hizo hakukua na Means ya kuandika kwenye makaratasi, na kufuatia mateso waloyapitia , Watu Hawa walilazimika kuandika kwenye magome na nguo .


Baada ya RUMI Pagani kuukubali Ukristo, ndipo likaamshwa vuguvugu la kuvikusanya vitabu hivo ma kuviweka pamoja, with time Wakatoa maandiko kwenye magome ,nguo, mawe, na kuyaleta kwenye makaratasi.


Sasa wee kizazi niambie, katika hao nani aliandika Bibla??.

Ulivyo lijinga, Hujui kua Biblia ni neno la Mungu aloliandika mwenyewe kupitia Watumishi wake.


Wewe kiaziiii, Kwa amatope yako kichwan Unamaanisha kua hata AMRI KUMI ZA MUNGU ,ziliandikwa na Roman??.

Jinga kabisaaaa
 
Mjinga Mmoja weee, huyo papa alikufa akiwa mikononi mwa Akina nani??.
 
May God bless you.
Mungu anao kondoo wake kwenye mazizi mengine. Na muda ukifika atawaita waingie zizini mwake
 
Nani alikudanganya kua biblia ni ya waroma?.


Je umesahau Roman ilivyojaribu kujiondoa biblia Dunia Kwa kuhakikisha wanazichona na kuwaua wote walikua nazo?.

Hivo kumbe JF Ina wajinga hivi, hata Historia hamjui??

Unajua nini kilimuua Papa 1798??
Ingekuwa kitabu Chao wangeamua kukichoma moto kipindi cha zama za za Giza na kipindi cha wanamatengenezo?
 
Mwenye kupenda kusoma asome hii summary lakini kama akitaka kitabu chote kipo. Asome Historia ya kanisa la Mungu (Wasabato) na vipindi ambavyo kanisa la Mungu lilipitia Hadi leo
 

Attachments

Kama ilo kanisan ndo adui Yao au wanaona mnaenda motoni msitajwe???
 
Wata
Nani alikudanganya kua biblia ni ya waroma?.


Je umesahau Roman ilivyojaribu kujiondoa biblia Dunia Kwa kuhakikisha wanazichona na kuwaua wote walikua nazo?.

Hivo kumbe JF Ina wajinga hivi, hata Historia hamjui??

Unajua nini kilimuua Papa 1798??
Watajuaje wakati mwenye mamlaka ya kusoma ni padri tu na anasoma kilichotumwa kutoka Roma waumini kazi Yao ni kusikiliza tu.

Waroma wengi wanaojitambua wameanza kutafuta makanisa ambapo wanaweza kujadili neno pamoja na hata kuuliza maswali.
 
Mzee wa old school umeniambia aaminiye na kubatizwa ataokoka bilashaka umemaanisha Kumuamini "Yesu" ama?

Naomba nipigie hesabu ya jumla siku Yesu amefariki, zikifika tatu kamili nabatizwa leo leo .

Zingatia vifungu hivi vinaeleza kua siku tatu ni mchana na usiku; πŸ‘‡πŸ‘‡

Zisipofika endelea na mambo yako, utaaminije Uongo?
 

Attachments

  • Screenshot_20240916-111606~3.jpg
    23 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240916-111436~2.jpg
    17.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240916-111436.jpg
    11.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240916-111456.jpg
    8.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240916-111606.jpg
    19.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240916-111624~2.jpg
    16.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…