Haiwezekani Wasabato kuhubiri neno la Mungu bila kutaja Kanisa Katoliki? Au ni mafunuo? au mbinu za kupata na kutunza wafuasi?

Haiwezekani Wasabato kuhubiri neno la Mungu bila kutaja Kanisa Katoliki? Au ni mafunuo? au mbinu za kupata na kutunza wafuasi?

Hakuna anayeshindana na msabato ila msabato ndiye anayeshindana na RC

Pia hebu niangalizie kwenye Biblia kama kuna mafungu yanayozungumzia:

Kurudi wa Yesu Kristo miaka ya 1,800 kama William Miller alivyodai

Habari ya Hukumu ya upelelezi

Habari za Bwana wetu Yesu Kristo kuhmia chumba cha patakatifu pa patakatifu kutokea chumba cha patakatifu akiwa huko kwenye hekalu la mbinguni

Habari za amri ya Sabato kuwa na mng'aro mkubwa zaidi ya amri nyingine
 
😀😀Inavyoonekana adui mkubwa wa Wasabato sio shetani bali ni RC.Sijawahi kuona Wasabato wakiwashambulia Moravian,Anglican,Lutheran,AIC,n.k japo wote wanasali siku ya Jumapili,wote wanabatiza watoto wadogo,wote wanabatiza kwa maji ya kunyunyiza,wote wanaamini fundisho la utatu mtakatifu,wote wanakula sakramenti,wote wanasherehekea sikukuu ya krismasi na pasaka n.k
 
Hata unacho kiongea hukielewi, taasisi ya ROMA Empire ndio ipi? Sehemu gani ufalme wa Roma Empire umefananishwa na Mnyama? Yani mnaungaunga.

Hoayo mafundisho yao ya uongo ya ya nini imani yao au imani Katoliki? Hivi ww unaijua imani katoliki na misingi yake?

Kwa hiyo pambano lenu halihusu dini ya RC (Halafu hamnaga dini ya RC bali dhehebu la RC),sasa kama halihusu dini why waumini wake uwaone wanakosea kuamini ktk imani katoliki?

Yaani unajicotradict unasema mafundisho yao ya uongo, halafu unarudi huna shida na dini katoliki. Hivi unacho kiandika unakielewa hata ww mwenyewe.

Sasa kalenda zimetengenezwa na wakatoliki, halafu hawa hawa walio jichagulia Jumamosi iwe siku yao ya Ibada wanajiona watakatifu na kuamini Mungu alipumzika Jumamosi.

Halafu mbona nimeandika vitu vya kawaida, labda kama ww kichwa chako kizito,ndio maana unaona nimetumia nguvu.
Nakuona umeamua kupambania mifumo ya Roman Catholic,na ikiwa mtazamo wako umekuwa fixed humo,hauta elewa labda papa aje akuthibitishie mwenyewe kuwa yeye pamoja na taasisi yao/zao ni wakala wa Shetani.
Huu sio uwanja wa mashindano/mapambano ya kidini/kiimani [dhehebu],Bali ni sehemu ya kuelimishana kwa aliye/walio tayari kujifunza pamoja.
Nimekupa vyanzo vya maandiko [vifungu vya biblia]vinavyothibitisha ukweli,[ninahisi hukusoma],tambua kuwa HOJA hujibiwa kwa HOJA na si kubishana tu bila vielelezo, Msingi wa huu mjadala upo kwenye maandiko matakatifu [biblia tunayoiamini sote].
Hivyo kama ambavyo nimekupa vyanzo vya maandiko [vifungu vya biblia] kuthibitisha ukweli wa hoja,ndivyo unavyopaswa kufanya kuthibitisha ukweli wa hoja yako pia.
Nakushauri,soma kwanza vyanzo vya maandiko nilivyokupa, kisha urudi na hoja yenye vielelezo vya biblia pia.
KARIBU.
 
Kwa hiyo wewe unaijua mifumo/misingi ya kikatoliki, kuliko wakatoliki wenyewe. Kwa hiyo nyie kwenye masomo yenu kuna kasegment cha kuidiscuss ukatoliki?

Sijaona reference ya andiko lolote zaidi ya chai.
 
Kunywa hiyo chai huenda itakusaidia.
 
Mimi nina bahati kupata vibinti vya namna hio ila vinanishinda tu kuniambia niende kanisani kwao najikuta nakula na kupita
😂😂😂🤣😅😆na ndo maana ukienda kwenye hayo makanisa utakuta vibinti vingi vimezalishwa na havina ramani.
Vinajifanyaga havijali hata ukikipiga chini
 
Mkuu umetoa vyanzo vya maandiko na uko sahihi ila ulipokosea kama ilivyo Wasabato wenzako ni tafsiri mliyoitoa ni potofu.
 
Ni sawa na waislam kuwaona wakristo hamnazo kwa kumuabudu mwanadamu "Yesu" kutwa kucha na mihadhara ya kuukashifu ukristo na biblia.
Hata hao ni hivyo hivyo kwa wakatoliki.
 
Mkuu wanaoifananisha taasisi ya RC mnyama wa kutisha na taasisi ya Wasabato yaani SDA na siyo Biblia

Wasabato wamesoma Vitabu vya Daniel na ufunuo na kuamua kuwa na hiyo tafsiri ambayo kwao wanaona ni sahihi

Ujitahidi kuacha kuungaunga mada
 
Hakuna unabii wa siku za mwisho bila upapa. Na hapo ndo Catholic inaingia.
Through out the history upapa umejaribu kupingana na sheria takatifu ya Mungu na kuhakikisha nuru ya neno la Mungu haiwafikii wengi. Watu waliuawawa Sana miaka ya hapo nyuma kuitetea kweli (neno la Mungu).
Sasa hivi watu hawauwawi Ila ameingiza mafundisho ya uongo. Upapa (papa) akijiita msamehe dhambi (ambalo ni jukumu la Mungu) , muwakilishi wa Mungu duniani, mafundishi kuhusu Hali ya wafu n. k n.k

So unapoitaja sheria takatifu ya Mungu unaitaja pia sabato takatifu ya Mungu na hapo ndo Rumi ambaye anawakilishwa na upapa anapoingia. Na hakuna upapa bila Roman Catholic
Alaf
Mkuu hebu fafanua hayo mafundisho ya uongo kuhusu wafu?
 
Mimi namuamini Mungu ambae kwa akili ya kawaida tu naona kazi zake like Dunia, Maji, Jua, Nyota, Mvua, Majira yaendayo sawa, Mwili wa binadamu ulivyo, mimea inavyokua nk

Huyu ndie naemuomba mimi, huyo wa kwenye vitabu ameshushwa sana hadhi mfano;

1. Ni mbaguzi ;
i-Amesimuliwa anajua mwanzo hadi mwisho, hii inamaanisha ana list ya watu wataoenda mbinguni.. halafu ameweka wazi - ameandaa watu wake 144,000/= tu kuishi mbinguni "soma ufunuo" ...Yani kati ya watu bilioni wataopaa mbingini ni Laki? huu ni ubaguzi tosha kwa wanaomuabudu kwa dhati inshort ameshawaandaa hao .

ii- Ukisoma biblia vizuri utagundua alibase na kizazi cha kina Ibrahim na kna daudi tu, ni kama story ya familia.. Je wale waliokua wanaishi mbali sana na huko Isreeli kwanini hakusikika kwao?

2. NI MSALITI; Sababu anadai anajua mwanzo hata mwisho cha ajabu alimuumba shetani, Bado akaendelea kufanya makosa makusudi kwa kutomzuia shetani pale bustanini.. kinachonishangaza zaidi atatuchoma moto kwa kosa lake la kumuumba shetani ambae ndo mzizi wa dhambi- huu ni usaliti mkubwa .

3. Hafuati maagizo yake mwenyewe - Anafundisha tusamehe makosa yote kabla hatujaenda kwake chaajabiu yeye hata msamehe yoyote siku ya mwisho. sasa kwanini atuadhibu sisi tunapolipiza visasi ihali ametuumba kwa mfano wake?

NB: Mungu yupo na anatenda kazi, kikubwa umuamini , utamuaminije? Simple fikiria kila kitu jinsi kinatenda kazi kiasili utagundua kuna Something behind kaunda who is God .

Wazungu wameleta hayo mavitabu mshindwe kuzitambua nguvu za Mungu kwa kutafakari ukuu wake ..

God is so Powerfull!!
Mungu ninae mzungumzia mimi hajaletwa na mzungu hata kitabu ninacho tumia kufanyika rejea hakijaletwa na mzungu... Labda... Narudia tena hapa labdaa hizi simu tunazotumia kujadaliana humu mtandaoni...

Pia hoja zako zinamkata Mungu, katikati ya hoja zako na hitimisho unamkubali tena... Sasa kipi ni kipi?

Chakukushauri ongeza maarifa kuhusu Imani kwanza.. na unapoyatafuta iweke huru fikra yako kujifunza.. wala usiwe na mawazo ya kupinga, maana ukiwa na mawazo hayo kamwe hutojua kweli.

Kuna kipindi niliwahi kukutana na changamoto Fulani katika maisha nikajawa na mawazo kama yako... Lakini badae nikamrejea Mungu akaniokania, ingawa Kuna wakati alinidhihirishia uwepo wake kwa njia ngumu kidogo lakini kupia hiyo njia ngumu ambayo kibinadamu inaumiza sana na kukatisha tamaa alinikumbusha kitu cha kujifunza hapa duniani... Na ninavyo zidi kukitunia kina msaada sana katika maisha yangu.

N:B Naomba kwa Mungu Roho mtakatifu awe msaada kwako.
 
Nimeeleza kwamba Mungu yupo mkuu..

Ila Ninapinga namna hayo maandiko ya vitabu jinsi yanavyomuelezea....

Mungu ninaemuamini mimi sio huyo wa kwenye vitabu ...
 
Hoja ya msingi ilipaswa kuwa "WOKOVU".

Hakuna kanisa litakalompeleka mtu kwa Mungu bila yeye binafsi kuwa na uhusiano chanya na Mungu wake.

Hayo mengine kama ushoga, uzinzi n.k ni maovu yanafanywa na baadhi ya wafuasi wa kila imani wakiwemo wasabato.

Ukiokolewa kwa neema na kuishi katika usafi wa kiroho na nafsi hapo ndo uko salama.
Wokovu siyo mali ya wasabato pekee wala kundi flani kwa njia ya kujihesabia haki.

Madhehebu ni kama magari tu ya kusafiria ila mbinguni hayapo.

Hivyo, tutafute kwa bidii kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu ambao pasipokuwa nao hatutaurithi ufalme wa MUNGU.
Point
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kanisa la Sabato, ni kanisan la Mungu, na Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.

Mungu hapatani na shetani, shetani pekee ndio anafurahia ushoga , ubakaji, Ndoa za jinsia moja, kuabudu sanamu, kusali jumapili Et kisa siku ni siku tu, kujiita Mungu wa Duniani , mtoto wa Mungu, ubatizo usokua sawa na ule wa Yesu , kutofuata biblia inasemaje...

Sasa Roman wenyewe hayo yote ya juu wanayafurahia.

Na kwakua Romani ndio Babeli Mkuu , Mama wa kahaba.

Sisi wasabato tutaendelea kuwapa Kichapo Kwa msaada wa Roho mtakatifu.

Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.
Kwani huko mbinguni mkienda wenyewe kinawauma nini?
Hatuwazuii,nendeni tu!
 
Mkuu hebu fafanua hayo mafundisho ya uongo kuhusu wafu?
Wanafundisha wafu wako pagatory... Hakunaga kitu kama hiki kwakuwa mfu hajui neno lolote kulingana na Biblia. Mtu anapokufa pumzi inamrudia aliyeiumba na mwili ambao hauna uhai tena unakuwa kaburini had ufufuo wa mwisho Uwe ufufuo wa kwanza kwa watakatifu au ufufuo wa pili kwa waliotenda mabaya.

Kufanya ibada za wafu eti kumuombea marehemu ni makosa kwa vile hesabu ya mtu na Mungu wake inakamilika pale anapokufa hakuna namna ya kuboresha tena kile ambacho mtu hakukikamilisha kabla ya mauti yake.
 
Kanisa katoliki kachagua kuplay role ya kitimoto.

Hapa duniani hakuna kiumbe kinasimangwa kama huyo jamaa,ila ndiyo kwanza anazidi kunona na kutoa mafuta.

Ndiyo RC sasa.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom