Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Mkojo ChifuKwahiyo umenataka tujadili mavi na mkono, sio...[emoji2955]
Achana na hizo, balaa ni tumbo la kuharaHbr ndugu zanguni wana JF??,Leo Nilikuwa nimekaa Sehemu fulani Hivi town,nikamsikia mama mmoja ni hawa wafanya biashara ndogo ndogo za kutembeza, akisemesha kuwa amebanwa sana na haja,na inavyoonyesha ni haja ndogo maana alisema "Ni bora kubanwa na haja kubwa kuliko haja ndogo". Kauli hii ilinifanya nicheke sana peke yangu,sasa nikaona niwashirikishe wana JF wenzangu,hivi kweli kati haja kubwa na ndogo ipi balaa???.
Tumbo la kuhara ndo huwa halina hata Adabu,Vipi kujamba??.Achana na hizo, balaa ni tumbo la kuhara
Kivipi???Ccm wanaangamiza vijana wa Tanzania
Kubwa alimaanisha kubanwa na mavi na ndogo alimaanisha kubanwa na mkojo.Yawezekana ni swala la uelewa tu huenda haja anayoisema yeye kuwa ni kubwa ikawa ni ndogo ktk sheria
Nani akupe??.Tupe uzoefu wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana na hizo, balaa ni tumbo la kuhara