Haja kubwa VS haja ndogo

Haja kubwa VS haja ndogo

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,355
Reaction score
14,408
Hbr ndugu zanguni wana JF?

Leo Nilikuwa nimekaa Sehemu fulani Hivi town,nikamsikia mama mmoja ni hawa wafanya biashara ndogo ndogo za kutembeza, akisemesha kuwa amebanwa sana na haja, na inavyoonyesha ni haja ndogo maana alisema "Ni bora kubanwa na haja kubwa kuliko haja ndogo".

Kauli hii ilinifanya nicheke sana peke yangu,sasa nikaona niwashirikishe wana JF wenzangu, hivi kweli kati haja kubwa na ndogo ipi balaa?
 
Hbr ndugu zanguni wana JF??,Leo Nilikuwa nimekaa Sehemu fulani Hivi town,nikamsikia mama mmoja ni hawa wafanya biashara ndogo ndogo za kutembeza, akisemesha kuwa amebanwa sana na haja,na inavyoonyesha ni haja ndogo maana alisema "Ni bora kubanwa na haja kubwa kuliko haja ndogo". Kauli hii ilinifanya nicheke sana peke yangu,sasa nikaona niwashirikishe wana JF wenzangu,hivi kweli kati haja kubwa na ndogo ipi balaa???.
Achana na hizo, balaa ni tumbo la kuhara
 
Yawezekana ni swala la uelewa tu huenda haja anayoisema yeye kuwa ni kubwa ikawa ni ndogo ktk sheria
 
Back
Top Bottom