Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Hbr ndugu zanguni wana JF?
Leo Nilikuwa nimekaa Sehemu fulani Hivi town,nikamsikia mama mmoja ni hawa wafanya biashara ndogo ndogo za kutembeza, akisemesha kuwa amebanwa sana na haja, na inavyoonyesha ni haja ndogo maana alisema "Ni bora kubanwa na haja kubwa kuliko haja ndogo".
Kauli hii ilinifanya nicheke sana peke yangu,sasa nikaona niwashirikishe wana JF wenzangu, hivi kweli kati haja kubwa na ndogo ipi balaa?