achana na habari ya population ,mulipokuja kuungana na zanzibar mliungana nayo as independent state , mkiwa milioni 40 au 50 thats none of our bussiness, kama sio kuungana na nyinyi tungekuwa na balozi kila sehemu ,kuwa na upeo wa ufahamu. kuhusu kudekezwa tunakudekezeni nyinyi mnaoamua kila kitu mnachotaka huko tanganyika na mnataka zanzibar tuwe wafuataji mkumbo tu, hizo scholarship mnajifanya kuzitoa kwa jina la tanzania, na zote zinaishia kinyemela huko tanganyika sie tunapata za underground tu.kisha leo unakuja hapa unatamka kikejeli kwamba tukapige kitabu kwanza hebu nenda zenji kisha zunguka tanganyika na angalia parcentagewise ,wapi kuna uneducated people wengi? usiangalie idadi ya watu.
acha kukejeli watu. wakati zanzibar ilipoendelea hakuna alieijua tanganyika katika ulimwengu huu. leo mmepata hivyo viji tv ndio unaona uwakejeli wenzio. ushasahau wakati tanzania nzima inaangalia tv moja tu nayo ni tvz.
hebu andamaneni muombe serikali tatu muone zanzibar itakuwa wapi? mnaimeza halafu mnailaumu! najiskia hasira tu nikiona maneno ya kejeli kama haya.daaamn! sijui ilikuwaje tukaungana. what a mistake!
nachukia sana mtu anapoleta habari ya population na akasahau kwamba zilizoungana ni two independent state ambazo.
sometime nikikumbuka kabla ya kuungana na sasa tulivyo najikuta natokwa na machozi tu ,especially nikiona kauli za kejeli kama hizi za huyu kijana hapa juu.