Haji amewazidi utopolo akili

Haji amewazidi utopolo akili

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Alikuwa na mpango wa kupewa adhabu ya kusimamishwa ili aache kuwasemea utopolo.

Lakini pia, kama ni faini watamlipia.

Kwa sasa nina uhakika utopolo ni jalala vichaa wote wanataka kuhamia.

Mwijaku anainyemelea nafasi ya Manara na naomba apewe tupunguze watu wenye gundu.

Manara aliwahi kusema huko utopoloni wenye akili ni wawili tu,nao wamezeeka, waliobaki wote kuanzia rais hadi boda boda wa kibondo hawana hizo akili
 
Back
Top Bottom