Haji Manana anakwama wapi?

Haji Manana anakwama wapi?

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Nimetoka kusikiliza malumbano ya msemaji wa Yanga na msemaji wa Simba. Hawa watu walizozana wenyewe wawili kwenye simu, iweje Manara aje iweke hadhatani walicho zozana? Kumbe na yeye anaumiaga eeh.
 
Mbona ujaweka kiambatanisho cha hayo malumbano, ili tumjue na huyo Haji manana
 
Back
Top Bottom