eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Nimetoka kusikiliza malumbano ya msemaji wa Yanga na msemaji wa Simba. Hawa watu walizozana wenyewe wawili kwenye simu, iweje Manara aje iweke hadhatani walicho zozana? Kumbe na yeye anaumiaga eeh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigogo 2014, alisema anakalia tako moja. ..... Ivyo ipo shida kama ni kweliNimetoka kusikiliza malumbano ya msemaji wa Yanga na msemaji wa Simba. Hawa watu walizozana wenyewe wawili kwenye simu, iweje Manara aje iweke hadhatani walicho zozana? Kumbe na yeye anaumiaga eeh.
Mbona ujaweka kiambatanisho cha hayo malumbano, ili tumjue na huyo Haji mananaNimetoka kusikiliza malumbano ya msemaji wa Yanga na msemaji wa Simba. Hawa watu walizozana wenyewe wawili kwenye simu, iweje Manara aje iweke hadhatani walicho zozana? Kumbe na yeye anaumiaga eeh.
...🙄🙄🙄...?Kigogo 2014, alisema anakalia tako moja. ..... Ivyo ipo shida kama ni kweli
Alisema Kuna mzee alikuwa kawafungia maeneo fulani Ilala .Kigogo 2014, alisema anakalia tako moja. ..... Ivyo ipo shida kama ni kweli
Oman uko au sio?Manara ni punguwani, nasikia ni mpunga uyo
Ila mnaye mke wa Tozi,according to kigogo2014Simba hatuna msemaji aitwaye Haji manana.