Haji Manara aanza kutupa vijembe kwa Mo Dewji


Hahahaaaaaa huu uzi ni wa kutisha kwa mashabiki wa Simba.
 
ukiangalia kwa mapana yake tume ya ushindani imelala fofofo, haiwezekani kampuni hiyo hiyo ina timu ligi kuu, ina dhamini timu nyingine za zilizo kwenye division sawa na timu inayomiliki na kampuni hiyohiyo inarusha ligi live kwa tv! Only in Tz
 
Mo dewji na pesa alizonazo, hatomuweza Manara kwa fitna za mjini
 
Lakini tusisahau Haji hajamtaja Mo kwenye hiyo post
 
Lakini nyienyie ndio mlikuwa mnampa kichwa wakati anawananga Yanga mkamahangilia kweli, mkatubeza Yanga hatuna msemaji, maneno kibao ya shobo, Leo kamgusa mfadhili wenu mshamgeuka, unafiki ni mbaya sana
Mimi sijadili kwa ushabiki wa team na wala mimi sio shabiki wa hiyo team uliyoitaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…