Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdosi atajuta kumfahamu Haji wa Manara.
hajismanara Wakulungwa wa kibongo waliopo South huuita lile Jiji kama Debeni,,,
Yes ni Durban !!!
Familia ya kitajiri isiyo na makeke ya Bakhresa inamiliki kiwanda kikubwa cha Unga chenye uwezo wa kuzalisha Tani 750 Kwa siku!!
Tuelewena kwanza,,,hiki kiwanda kipo Debeni na Tani 750 zinazalishwa hapo ktk kila Saa 24 Dadadeki!!
Sasa kipi kikushangaze Shilingi Bilioni 223 zikiwekwa ktk football ya nchi hii tena bila ya mbwembwe wala mmoja wa Memba wa familia hyo kuwepo?
223 Bilioni ukizipanga noti za Ten Ten zinatoka Dar hadi Brazil na kurudi hadi Pakistan kisha zinaenda hadi Cape Verde na kutokomea hadi Kilwa,,
Hapo sijaongelea mkwanja waliolamba Dar Young Africans?🤪🤪
@officialbakhresagroup 💪🏿💪🏿
ukiangalia kwa mapana yake tume ya ushindani imelala fofofo, haiwezekani kampuni hiyo hiyo ina timu ligi kuu, ina dhamini timu nyingine za zilizo kwenye division sawa na timu inayomiliki na kampuni hiyohiyo inarusha ligi live kwa tv! Only in Tzhajismanara Wakulungwa wa kibongo waliopo South huuita lile Jiji kama Debeni,,,
Yes ni Durban !!!
Familia ya kitajiri isiyo na makeke ya Bakhresa inamiliki kiwanda kikubwa cha Unga chenye uwezo wa kuzalisha Tani 750 Kwa siku!!
Tuelewena kwanza,,,hiki kiwanda kipo Debeni na Tani 750 zinazalishwa hapo ktk kila Saa 24 Dadadeki!!
Sasa kipi kikushangaze Shilingi Bilioni 223 zikiwekwa ktk football ya nchi hii tena bila ya mbwembwe wala mmoja wa Memba wa familia hyo kuwepo?
223 Bilioni ukizipanga noti za Ten Ten zinatoka Dar hadi Brazil na kurudi hadi Pakistan kisha zinaenda hadi Cape Verde na kutokomea hadi Kilwa,,
Hapo sijaongelea mkwanja waliolamba Dar Young Africans?🤪🤪
@officialbakhresagroup 💪🏿💪🏿
Mi niko anga za Kidarajani ndio mitaa yanguHahaha mkuu spenko unapajua vuzur pale Kuna wanaume washoka wanavunja vyuma n mijitu haswa karibu bugurun spenko
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Aligonga hakukulipa nini! PoleMo ni tapeli la kimataifa siku zake zinahesabika simba
Defense against what? The guy he's a loser,that's why he can't zip off his mouth.Attacking is the defense strategy in case you don't know.
Mimi sijadili kwa ushabiki wa team na wala mimi sio shabiki wa hiyo team uliyoitaja.Lakini nyienyie ndio mlikuwa mnampa kichwa wakati anawananga Yanga mkamahangilia kweli, mkatubeza Yanga hatuna msemaji, maneno kibao ya shobo, Leo kamgusa mfadhili wenu mshamgeuka, unafiki ni mbaya sana