OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Haji Manara ameizima Yanga na kuisigina kabisa. Msuso umewarudia wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuhusu kuidhalilisha jezi ya yanga ambayo ndio tuhuma zilizoelekezwa kwake amesemaje?Haji Manara ameizima Yanga na kuisigina kabisa. Msuso umewarudia wenyewe
hakuitisha press ya kuijibu Yanga, ilitokea btwNa kuhusu kuidhalilisha jezi ya yanga ambayo ndio tuhuma zilizoelekezwa kwake amesemaje?
Kama Manara ameweza kuikera yanga basi ni wazi anafanya kazi vizuri
Haji Manara ameizima Yanga na kuisigina kabisa. Msuso umewarudia wenyewe
Haji Manara ameizima Yanga na kuisigina kabisa. Msuso umewarudia wenyewe
Msemaji wao nugaz anajitambua kiasi hawezi kuongea utoto kama huoTimu ikionewa mwakalebela ndo anaongea kwani Msemaji wao yupo wapi??????
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app