Haji Manara aisambaratisha Yanga, awataka wasuse

Haji Manara aisambaratisha Yanga, awataka wasuse

manara aisambaratishe yanga kama tu simba imetoka katika yanga na haijasambaratika aweze manara acha utani mkuu.

anaongea upumbavu leo hii kasahau alilalamika akiwa na tv kwa waandishi hahahahaha
 
Huyo mgonjwa waakili anasahau aliwahi kubeba litivi na kutaka kuhamia ligi ya Zanzibar?
 
Hivi Yanga pana uongozi pale kama manara anaweza kuidhalilisha ya Yanga na uongozi ukakaa kimya basi kuna tatizo mpeleke mahakamani huyu mhuni anayeshinda kwenye mitandao kila wakati mjue huyu anaweza kusababisha kuporomoka kwa biashara take action now
 
Back
Top Bottom