Haji Manara alalamika Serikali kukaa kimya sakata lake na TFF ilhali ni mwanaCCM na 'Pro Government'

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amelalamikia Serikali ikiwemo mawaziri kukaa kimya na kuruhusu yeye kuonewa ilihali ni 'Pro Government' na mwanaccm aliyesomeshwa na chama. Manara amehoji kama yeye anafanyiwa hayo, vipi kwa watu wa kawaida?

Nimejiuliza, kuna tabaka katika hii nchi sheria hazipaswi kuapply!

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu kweli ni Mpuuzi...
Kwa hiyo analazimisha Serikali kwa matakwa yake. Hajui sheria za Fifa zinakataza Serikali kuingilia maswala ya michezo.

Pia yeye kauli zake ni za kulazimisha uongozi ufanye anavyo taka yeye. Hio haipo narudia tena haipo.

Tena kama ningekuwa rais wa TFF ningegongelea Nyundo kifungo cha Maisha.
Mpuuzi wa head Manera
 
Usininikuu vibaya
Manara Yeye ni CCM sawa sawa kabisa
Manara Yeye ni Muislamu sawsaw kabisa
LAKINI yeye Manara siyo MZANZIBARI kabisa sawa

USILINGANISHE Hadhi Ya Manara na FEITOTO kwa sababu mmoja anatoka BARA mwingine KISIWANI walipo Mashehe wa Uamsho.
 
MANARA NI NANI MPAKA SERIKALI IACHE SHUGHULI ZAKE ISHUGHULIKIE MATUSI YAKE DHIDI YA VIONGOZI?
MANARA AKIWA CCM ALIPATA TUHUMA za magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…