Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Na kweli CCM Kwa ujinga iko juu, nashangaa Kwa nini haimtetei mjinga mwenzao?Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amelalamikia Serikali ikiwemo mawaziri kukaa kimya na kuruhusu yeye kuonewa ilihali ni 'Pro Government' na mwanaccm aliyesomeshwa na chama. Manara amehoji kama yeye anafanyiwa hayo, vipi kwa watu wa kawaida?
Nimejiuliza, kuna tabaka katika hii nchi sheria hazipaswi kuapply!