Haji Manara alalamika Serikali kukaa kimya sakata lake na TFF ilhali ni mwanaCCM na 'Pro Government'

[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hii habari pengine mi ilinipita.

Kumbe Manara aliwahi kudhurumiwa na TFF?

Sasa tujadili tweets ya Mo na Babra au tumsikilize na mwanetu?
Manara hana shukrani, awashukuru hao TFF wamemuacha kwenye ile kesi nyingine ya ule ujinga alioufanya siku ya Mwananchi last year, yeye na Hersi walishtakiwa na TFF, lakini TFF wakaamua kukaa kimya mpaka leo..

Manara ajifunze kufunga mdomo wake kabla makaburi mengine hayajafukuliwa.
 

nimekubali maneno yako ndio maana fei toto aliachiwa na masheikh wa zanzibar walitolewa wakabaki masheik wa tanzania bara wanasota jela na mmojawapo akatoka juzi hana mguu mmoja
 
HAPO kasema kweli kwamba yeye c mwananchi WA kawaida yeye NI CHIZI
 
Kwani Serikali na CCM ndio walimtuma?
 
TFF wanambeba sana Haji Manara kwani kuna ile kesi yake nyingine aliyounganishwa na Hersi bado hawajaitolea maamuzi. Ni wakati sasa wamshukie kisawasawa asijishughulishe na mchezo wa mpira wa miguu maisha yake yote.
 
Alifanyaje?
 
Asamehe tu ashajifunza
Kama lengo ilikuwa kumfunza nadhani inatosha sasa
 
no tuache uongo hajasema kuwa yeye ni pro govt wala ni mwana ccm
 
Hivi ni yeye ndiye alietengeneza habari za kupunguziwa adhabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…