Na kweli CCM Kwa ujinga iko juu, nashangaa Kwa nini haimtetei mjinga mwenzao?Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amelalamikia Serikali ikiwemo mawaziri kukaa kimya na kuruhusu yeye kuonewa ilihali ni 'Pro Government' na mwanaccm aliyesomeshwa na chama. Manara amehoji kama yeye anafanyiwa hayo, vipi kwa watu wa kawaida?
Nimejiuliza, kuna tabaka katika hii nchi sheria hazipaswi kuapply!
Duh!Mimi ni yanga ila huyu mpumbavu aongezewe adhabu
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amelalamikia Serikali ikiwemo mawaziri kukaa kimya na kuruhusu yeye kuonewa ilihali ni 'Pro Government' na mwanaccm aliyesomeshwa na chama. Manara amehoji kama yeye anafanyiwa hayo, vipi kwa watu wa kawaida?
Nimejiuliza, kuna tabaka katika hii nchi sheria hazipaswi kuapply!
Huyu bwege fara sana sana kwanza ni zeruzeru bwege huyuAliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amelalamikia Serikali ikiwemo mawaziri kukaa kimya na kuruhusu yeye kuonewa ilihali ni 'Pro Government' na mwanaccm aliyesomeshwa na chama. Manara amehoji kama yeye anafanyiwa hayo, vipi kwa watu wa kawaida?
Nimejiuliza, kuna tabaka katika hii nchi sheria hazipaswi kuapply!
Hiyo hapo mkuuPicha ya Manara
Mbaya sana unakuwa fala halafu mzee. Angetulia azeeke vizuriHuyo ni fala tu