Haji Manara ameshatoa mahari kumuoa Zaiylissa

Haji Manara ameshatoa mahari kumuoa Zaiylissa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Akiongea na Waandishi wa habari Zailyssa amesema kuwa Mpenzi wake ameshakamilisha taratibu zote za kidini na kisheria kwaajili ya kumuoa, ikiwemo kujitambulisha nyumbani kwao na wazazi wameshamkubali.

Angalia video hapa chini.

Huyo Dotto Magari inaonekana kazi ya Uchawa anaiweza, angalia anavyomfanyia Uchawa Bugati 😅

Ila kwa style ya kuoa na kuacha ya Haji Manara, si atakuja kuwa na watoto 20 akifika Uzee 😜

Tuwaombee heri kwenye maisha yao ya Uchumba na ndoa
 
Maoni yangu bado ni yale yale
Screenshot_20240112-115236.png
 
Unajua huyu jamaa nilidhani anaakili but he is dumber than I thought.Manzi kaolewa zaidi ya Mara mbili kaachika,kazaa watoto kibao ni danga pro(tetesi)na tunavyojua manara anawivu wa kipuuzi na pia ni control freak unapiga Hesabu TU ya kutoa hakuna kitu hapo.
Usivyo na akili umeona ndoa za zai tu...
Manara kaacha wangapi?
Mkiwa mnakosoa muwe mnabalance mzani
 
Huyo Dotto Magari inaonekana kazi ya Uchawa anaiweza, angalia anavyomfanyia Uchawa Bugati 😅

Ila kwa style ya kuoa na kuacha ya Haji Manara, si atakuja kuwa na watoto 20 akifika Uzee 😜

Tuwaombee heri kwenye maisha yao ya Uchumba na ndoa
Uzee upi zaidi ukiwa na miaka +45 uzee upi unangoja?Ni kutokukuwa kiakili tu na kiki za kijinga kwa upande wake.
 
Back
Top Bottom