njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kwani huyu jamaa anajiona yeye nani? Bosi wake Ally Kamwe keshasema Yanga ni timu kubwa ina wachezazji wakubwa ina uwekezaji mkubwa kuliko Al Hilal ambayo ndiyo kwanza inajitafuta kuweka sawa muonekano wao.
Wewe ni nani upinge bwana? Yaani Yanga iende Sudan kama underdog? Hii ni dharau kwa uwekezaji na usajili mkubwa uliofanyika na Hersi.
Wewe ni nani upinge bwana? Yaani Yanga iende Sudan kama underdog? Hii ni dharau kwa uwekezaji na usajili mkubwa uliofanyika na Hersi.