Haji Manara ampinga bosi wake Ali Kamwe, ni dharau kwa wana Yanga

Haji Manara ampinga bosi wake Ali Kamwe, ni dharau kwa wana Yanga

Yanga vurugu tupu, kuanzia nje ya uwanja mpaka ndani, klabu haina watu wanaojielewa kuendesha timu kiuweledi, wamejaa vijana wenye mihemko tu.
Katika hao Vijana kuna mmoja alisema kuwa Yanga ina Quality kubwa na Uwekezaji na fedha kuliko Al Hilal

Nadhani ujana muda fulani husumbua mabarobaro wa kileo.
 
Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli. Kwa hiyo nilichokisema ni uongo, au kina ukweli ndani yake?

Hizi mada za Haji Manara zina tija gani humu? Kila siku Haji Manara amesema hivi!! Haji Manara sijui bla bla gani!! Nikiwahoji, mnapaniki!!
Hilo unalosema mbona na nyie hasa wewe mkiambiwa ukweli mnang'aka sana tatizo nyani haoni kundule.
 
Broo MANARA kasema yanga waende KAMA
Hapo limetumika neno KAMA
bado ni dharau kusema waende kama under dog ,yanga ni klabu kubwa sana kwa al hilal, kihistoria, kifedha na kwa quality ya wachezaji na benchi la ufundi la yanga limeshiba kulinganisha na wa sudan
Yanga haiwezi kwenda kama underdog
 
Back
Top Bottom