njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
😆😆😆 Kwan mechi wanacheza lini ? Naona wana tapatapa mnooo utazani wamefungwaKwani huyu jamaa anajiona yeye nani? Bosi wake Ally Kamwe keshasema Yanga ni timu kubwa ina wachezazji wakubwa ina uwekezaji mkubwa kuliko Al Hilal ambayo ndiyo kwanza inajitafuta kuweka sawa muonekano wao.
Wewe ni nani upinge bwana? Yaani Yanga iende Sudan kama underdog? Hii ni dharau kwa uwekezaji na usajili mkubwa uliofanyika na Hersi.
View attachment 2382323View attachment 2382324
embu tuliza akili basi Topo topolo, kwa nini manara awatake wachezaji waende kama underdogs? kauli ipi sasa iko sahihi? yanga ni underdogs kwa al hilal au iko juu yake kwa kila kitu kama alivyosema ali kamwe?Una shida mahali wewe. Siyo bure.
weekend hii , nashangaa jamaa wana team kali sana na uwekezaji mkubwa wa tajiri asiye bahili lakini ghafla wanaanza kujiita underdogs😆😆😆 Kwan mechi wanacheza lini ? Naona wana tapatapa mnooo utazani wamefungwa
Kuna watu huwa mnamfuatilia sana huyo Haji Manara! Hivi ni mtu special kiasi hicho!embu tuliza akili basi Topo topolo, kwa nini manara awatake wachezaji waende kama underdogs? kauli ipi sasa iko sahihi? yanga ni underdogs kwa al hilal au iko juu yake kwa kila kitu kama alivyosema ali kamwe?
Huyu ambaye juzi ulisema ndiye kafundisha matusi wana simba leo unamsifia tena? embu nijibu swali langu basi ...kwa nini yanga aende sudan kama underdog? mimi nakubaliana na ali kamwe, yanga iende kwa kiburi, iviiiiimbe ifunguke na kushambulia, al hilal ni ndogo sana kwa yangaKuna watu huwa mnamfuatilia sana huyo Haji Manara! Hivi ni mtu special kiasi hicho!
Maana kila atakachosema, au kuandika huko kwenye mitandao yake ya kijamii, basi lazima mje mtengeneze uzi wa kumjadili! "Manara kasema hivi" "Manara sijui yuko hivi"
hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
harakati za ashura cheupe hizoHio picha ya pili hapo ni hatari,
Acha kulialia utopoloKuna watu huwa mnamfuatilia sana huyo Haji Manara! Hivi ni mtu special kiasi hicho!
Maana kila atakachosema, au kuandika huko kwenye mitandao yake ya kijamii, basi lazima mje mtengeneze uzi wa kumjadili! "Manara kasema hivi" "Manara sijui yuko hivi"
Hili nalo limekuuma sana,mwaka huu usiporukwa akili bahati sanaKuna watu huwa mnamfuatilia sana huyo Haji Manara! Hivi ni mtu special kiasi hicho!
Maana kila atakachosema, au kuandika huko kwenye mitandao yake ya kijamii, basi lazima mje mtengeneze uzi wa kumjadili! "Manara kasema hivi" "Manara sijui yuko hivi"
Wawili wapendanao katika hisia kali za penzi laoKwani huyu jamaa anajiona yeye nani? Bosi wake Ally Kamwe keshasema Yanga ni timu kubwa ina wachezazji wakubwa ina uwekezaji mkubwa kuliko Al Hilal ambayo ndiyo kwanza inajitafuta kuweka sawa muonekano wao.
Wewe ni nani upinge bwana? Yaani Yanga iende Sudan kama underdog? Hii ni dharau kwa uwekezaji na usajili mkubwa uliofanyika na Hersi.
View attachment 2382323View attachment 2382324
Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli. Kwa hiyo nilichokisema ni uongo, au kina ukweli ndani yake?Hili nalo limekuuma sana,mwaka huu usiporukwa akili bahati sana