Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,267 Oct 11, 2022 #21 denooJ said: Yanga vurugu tupu, kuanzia nje ya uwanja mpaka ndani, klabu haina watu wanaojielewa kuendesha timu kiuweledi, wamejaa vijana wenye mihemko tu. Click to expand... Katika hao Vijana kuna mmoja alisema kuwa Yanga ina Quality kubwa na Uwekezaji na fedha kuliko Al Hilal Nadhani ujana muda fulani husumbua mabarobaro wa kileo.
denooJ said: Yanga vurugu tupu, kuanzia nje ya uwanja mpaka ndani, klabu haina watu wanaojielewa kuendesha timu kiuweledi, wamejaa vijana wenye mihemko tu. Click to expand... Katika hao Vijana kuna mmoja alisema kuwa Yanga ina Quality kubwa na Uwekezaji na fedha kuliko Al Hilal Nadhani ujana muda fulani husumbua mabarobaro wa kileo.
moi wa kitaa JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 931 Reaction score 940 Oct 11, 2022 #22 Broo MANARA kasema yanga waende KAMA Hapo limetumika neno KAMA
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Oct 11, 2022 #23 Tate Mkuu said: Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli. Kwa hiyo nilichokisema ni uongo, au kina ukweli ndani yake? Hizi mada za Haji Manara zina tija gani humu? Kila siku Haji Manara amesema hivi!! Haji Manara sijui bla bla gani!! Nikiwahoji, mnapaniki!! Click to expand... Hilo unalosema mbona na nyie hasa wewe mkiambiwa ukweli mnang'aka sana tatizo nyani haoni kundule.
Tate Mkuu said: Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli. Kwa hiyo nilichokisema ni uongo, au kina ukweli ndani yake? Hizi mada za Haji Manara zina tija gani humu? Kila siku Haji Manara amesema hivi!! Haji Manara sijui bla bla gani!! Nikiwahoji, mnapaniki!! Click to expand... Hilo unalosema mbona na nyie hasa wewe mkiambiwa ukweli mnang'aka sana tatizo nyani haoni kundule.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Oct 11, 2022 #24 Lupweko said: View attachment 2382593 Click to expand... Muone huyu boxer mpya wa Moo Boxing Promotion! Shida iko wapi sasa! Ulitaka niseme hiyo Oktoba 8 tutatoa sare na hao Al Hilal! Siku zote naamini katika ushindi kwa timu yangu! Tukifungwa, basi ni sare.
Lupweko said: View attachment 2382593 Click to expand... Muone huyu boxer mpya wa Moo Boxing Promotion! Shida iko wapi sasa! Ulitaka niseme hiyo Oktoba 8 tutatoa sare na hao Al Hilal! Siku zote naamini katika ushindi kwa timu yangu! Tukifungwa, basi ni sare.
N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,671 Oct 11, 2022 Thread starter #25 moi wa kitaa said: Broo MANARA kasema yanga waende KAMA Hapo limetumika neno KAMA Click to expand... bado ni dharau kusema waende kama under dog ,yanga ni klabu kubwa sana kwa al hilal, kihistoria, kifedha na kwa quality ya wachezaji na benchi la ufundi la yanga limeshiba kulinganisha na wa sudan Yanga haiwezi kwenda kama underdog
moi wa kitaa said: Broo MANARA kasema yanga waende KAMA Hapo limetumika neno KAMA Click to expand... bado ni dharau kusema waende kama under dog ,yanga ni klabu kubwa sana kwa al hilal, kihistoria, kifedha na kwa quality ya wachezaji na benchi la ufundi la yanga limeshiba kulinganisha na wa sudan Yanga haiwezi kwenda kama underdog