Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel.

Je Haji anachapiwa?

Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao.

Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila haihusiani
 
Mjini kuzuri
 
So what?
 
Umeanza kwa kuuliza, lakini ghafla umekuwa kama una uhakika hadi ukaona sababu ya kuchapiwa ni kuanika wake zake mitandaoni..!! Tuna safari ndefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…