Haji Manara anafanya kazi ya udiwani wa Kariakoo saa ngapi?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Huyu Haji Manara aliutaka udiwani wa Kariakoo dola ya CCM ikamuweka lakini baada ya kuwekwa hapo kama diwani namuona amekuwa mtangazaji Wasafi na pia anaigiza maigizo ya Kombolela!

Muda gani anakuwa anafanya kazi ya udiwani? Au udiwani sio kazi nzito na serious kihivyo kumfanya mtu awe busy muda mwingi akiifanya?
 
😆😆😆😅
Miongozo inashauri madiwani na wenye viti wa mitaa na vijiji wawe na kazi ya msingi.....ila haishinikizi. Sasa wakati ule Diwani hakuwa na mshahara.
Siku hizi nasikia wanalipwa mishahara..sina uhakika lakini
 
Ni kweli wanalipwa
Na posho pia wanalipwa.
Shida yangu IPO hapo kwenye kazi maalum
 
Huyu Haji Manara aliutaka udiwani wa Kariakoo dola ya CCM ikamuweka lakini baada ya kuwekwa hapo kama diwani namuona amekuwa mtangazaji Wasafi na pia anaigiza maigizo ya Kombolela!

Muda gani anakuwa anafanya kazi ya udiwani? Au udiwani sio kazi nzito na serious kihivyo kumfanya mtu awe busy muda mwingi akiifanya?
bila kua na chuki binafsi na kwa faida ya wadau wa JF,
kwani muda wa kazi za madiwani ni saa ngapi gentleman, kwa mfano? :NoGodNo:
 
Anapigiwa simu na anatoa maelekezo,mihuri anatembea nayo kwa brief case cha muhimu kazi zifanyike
 
Baada ya mdomo wake kusabisha GSM kumwaga anatafuta kuongeza kipato maana kule kuoa na kuacha na safari za ulaya hakuna tena.
 
Back
Top Bottom