Ni kweli wanalipwa😆😆😆😅
Miongozo inashauri madiwani na wenye viti wa mitaa na vijiji wawe na kazi ya msingi.....ila haishinikizi. Sasa wakati ule Diwani hakuwa na mshahara.
Siku hizi nasikia wanalipwa mishahara..sina uhakika lakini
bila kua na chuki binafsi na kwa faida ya wadau wa JF,Huyu Haji Manara aliutaka udiwani wa Kariakoo dola ya CCM ikamuweka lakini baada ya kuwekwa hapo kama diwani namuona amekuwa mtangazaji Wasafi na pia anaigiza maigizo ya Kombolela!
Muda gani anakuwa anafanya kazi ya udiwani? Au udiwani sio kazi nzito na serious kihivyo kumfanya mtu awe busy muda mwingi akiifanya?
Kipo, KUUZA VIWANJA VYA WAZIKwani udiwani zaidi ya kuhidhuria vikao kuna kingine.