Haji Manara anahitaji kuomba msamaha, asema sababu ya kuondoka Simba ni Try Again na si Barbara wala Mo Dewji

Wakuu Kwema!

Bwana Manara amendelea kutema nyongo sasa ameweka wazi ishu yake ya kuondoka Simba SC, nani aliyemsababisha asepe ndani ya klabu hiyo
==================

"Mimi Simba sikuondoka kama wengi wanavyodhani sababu ni ya Mo, Mimi Simba nimeondoka sababu ya msingi wala sio Barbra kama watu wengi wanavyodhani. Mimi alie nifanya niondoke Simba ni Salim Try Again!.

Yaani alini tengenezea mazingira magumu mimi kufanya...very very powerful (Try Again) yaani Simba ni yeye, yeye ni Simba kuliko mtu yeyote Kwa kipindi kile.

Alikuwa na nguvu kubwa katika ushawishi Kwa maana ya Mohammed na Barbra"

Huyu mzee naona ule ugonjwa umeshafika kwenye ubonga na ku delete kumbukumbu nyingi,amesahau lile bwato alilotoa juu ya Barbara hadi kumtishia maisha ? Uzee,kale kagonjwa na ulevi wa bangi na shisha vimemuathiri sana huyu mzee.
 
Attachments

  • FB_IMG_1713799997765.jpg
    FB_IMG_1713799997765.jpg
    53.3 KB · Views: 2
Kwahiy
Kuna voice notes ilivuja akimsakama barbra kabla ya kombe la azam conderation kule kigoma

Baadae akaitisha press conference kumsagia kunguni dewji mpaka dewji akaja na check fake ukweli ni kwamba manara ni mtu wa hovyo sana
Kwahiyo alitusaidia kujua kwamba mhindi ni tapeli?? Au feki check bila Manara ingejileta??
 
Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try again sio Barbra wala Mo. Je baada ya hii kauli haoni sababu ya kuwaomba msamaha rasmi Mo na Barbra? sababu aliwazushia uwongo uliofanya baadhi ya watu kuamini na kuwatukana viongozi.

Kwanini leo ndio anakuja kumtaja Try again ndiye sababu na kwakuwa alikuwa anamuonea wivu umaarufu wake, siku za nyuma alisema ni Mo. Ukiwa na mtu wa namna hii kigeugeu basi huyu sio mtu wa kuaminika maana huko mbele tutamuamini vipi tena kwa kauli zake kama hizi. Watangazaji wameshindwa kumbana na maswali magumu. Leo unamshutuma Salim Abdalla try again lakini miaka mitatu nyuma ulisema ni Barbra na Mo je uko tayari kuwaomba msamaha hadharani?
Haji anaharibu sana. Haeleweki anataka nini. Au anatumika kwa nia ovu? Haji ni mfitini. Sitamani hata awe msemaji wetu wananchi. Aendelee kwenye kuhamasisha ila awekewe mipaka.
 
Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try again sio Barbra wala Mo. Je baada ya hii kauli haoni sababu ya kuwaomba msamaha rasmi Mo na Barbra? sababu aliwazushia uwongo uliofanya baadhi ya watu kuamini na kuwatukana viongozi.

Kwanini leo ndio anakuja kumtaja Try again ndiye sababu na kwakuwa alikuwa anamuonea wivu umaarufu wake, siku za nyuma alisema ni Mo. Ukiwa na mtu wa namna hii kigeugeu basi huyu sio mtu wa kuaminika maana huko mbele tutamuamini vipi tena kwa kauli zake kama hizi. Watangazaji wameshindwa kumbana na maswali magumu. Leo unamshutuma Salim Abdalla try again lakini miaka mitatu nyuma ulisema ni Barbra na Mo je uko tayari kuwaomba msamaha hadharani?
Domokaya upepo umekata
 
Huyo mbulukenge abaki na yanga yake

Aachane na simba

Kawa kama kicheche… kimeondoka home lakini kutwa kumtaja bwana wa zamani
 
Kwenye clip mojawapo ya hiyo Interview anasema ana kadi ya Yanga na maneno yanamponyoka anasema "Nina kadi 2 za Yanga na Simba na hapo anajisahihisha na kusema nina kadi ya CCM"
Anadai pia alianza kupenda Nyota Nyekundu .Ukimsikiliza utashangaa mikanganyiko mingi kwenye maelezo yake.
Ukiwa muongo ni lazima uwe na kumbukumbu nzuri ili usijikanganye kwenye uongo unaosema kila siku.
 
Simba haijawahi samehe msaliti.
Na hilo yeye mwenyewe analijua.
Akaulize alikoishia beki kisiki Deo Njohole, Zamoyoni Mogella, Hamis Thobias Gaga na wengine wa aina hiyo.
Ukishafañya kazi na Yanga mambo yako yote malizia huko huko Yanga.
 
Back
Top Bottom