Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Ameona Try Again hayupo kwenye position ile ya mwanzo na mashabiki walipiga kelele atoke basi Manara andhani yeye kumchafua Try Again wanasimba watamwamini yeye. Yeye mwenyewe alikuwa analilia kwenye voice notes akimlaumu Mo na Babra. Manara ni mtu wa hovyo anafaa kuogopwa kama ukoma, asijihusishe na mambo ya Simba wala wasimkaribishe, hapo anaanza kujipendekeza na ikitokea Simba akampiga Yanga derby ijayo atawananga sana. Manara asipewe nafasi tena Simba akatafute changamoto nyingine huko Azam au Fountain gate.