Haji Manara anahitaji kuomba msamaha, asema sababu ya kuondoka Simba ni Try Again na si Barbara wala Mo Dewji

Huyu mzee naona ule ugonjwa umeshafika kwenye ubonga na ku delete kumbukumbu nyingi,amesahau lile bwato alilotoa juu ya Barbara hadi kumtishia maisha ? Uzee,kale kagonjwa na ulevi wa bangi na shisha vimemuathiri sana huyu mzee.
 

Attachments

  • FB_IMG_1713799997765.jpg
    53.3 KB · Views: 2
Kwahiy
Kuna voice notes ilivuja akimsakama barbra kabla ya kombe la azam conderation kule kigoma

Baadae akaitisha press conference kumsagia kunguni dewji mpaka dewji akaja na check fake ukweli ni kwamba manara ni mtu wa hovyo sana
Kwahiyo alitusaidia kujua kwamba mhindi ni tapeli?? Au feki check bila Manara ingejileta??
 
Haji anaharibu sana. Haeleweki anataka nini. Au anatumika kwa nia ovu? Haji ni mfitini. Sitamani hata awe msemaji wetu wananchi. Aendelee kwenye kuhamasisha ila awekewe mipaka.
 
Domokaya upepo umekata
 
Huyo mbulukenge abaki na yanga yake

Aachane na simba

Kawa kama kicheche… kimeondoka home lakini kutwa kumtaja bwana wa zamani
 
Kwenye clip mojawapo ya hiyo Interview anasema ana kadi ya Yanga na maneno yanamponyoka anasema "Nina kadi 2 za Yanga na Simba na hapo anajisahihisha na kusema nina kadi ya CCM"
Anadai pia alianza kupenda Nyota Nyekundu .Ukimsikiliza utashangaa mikanganyiko mingi kwenye maelezo yake.
Ukiwa muongo ni lazima uwe na kumbukumbu nzuri ili usijikanganye kwenye uongo unaosema kila siku.
 
Simba haijawahi samehe msaliti.
Na hilo yeye mwenyewe analijua.
Akaulize alikoishia beki kisiki Deo Njohole, Zamoyoni Mogella, Hamis Thobias Gaga na wengine wa aina hiyo.
Ukishafañya kazi na Yanga mambo yako yote malizia huko huko Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…