Haji Manara anahitaji kuomba msamaha, asema sababu ya kuondoka Simba ni Try Again na si Barbara wala Mo Dewji

Ameona Try Again hayupo kwenye position ile ya mwanzo na mashabiki walipiga kelele atoke basi Manara andhani yeye kumchafua Try Again wanasimba watamwamini yeye. Yeye mwenyewe alikuwa analilia kwenye voice notes akimlaumu Mo na Babra. Manara ni mtu wa hovyo anafaa kuogopwa kama ukoma, asijihusishe na mambo ya Simba wala wasimkaribishe, hapo anaanza kujipendekeza na ikitokea Simba akampiga Yanga derby ijayo atawananga sana. Manara asipewe nafasi tena Simba akatafute changamoto nyingine huko Azam au Fountain gate.
 
Kuna voice notes ilivuja akimsakama barbra kabla ya kombe la azam conderation kule kigoma

Baadae akaitisha press conference kumsagia kunguni dewji mpaka dewji akaja na check fake ukweli ni kwamba manara ni mtu wa hovyo sana
Aaahaaa
 
Unapokuwa huaminiki, Adui wa adui yako anaogopa kuwa rafiki yako na adui yako anakuwa rafiki wa adui yako mwishowe na rafiki yako anashawishika kuwa adui yako.
Aaahaaaa
 
Reactions: Tsh
Mnafiki per se
 
Hapo ndiyo anaomba msamaha kijanja kwa mo
 
Huyu mkubwa ila anashindwa na wale madogo wakina Ally Kamwe, Priva , Ibwe na Ally ..Hao vijana wana busra ila yeye kazi kuropoka na kik za kishamba.
Ally Kamwe Hana busara labda kama ameanza kujifunza kuwa na busara.
 
Reactions: Tui
Huyo mshamba wa kkoo ndo atajua sasa simba na yanga ndo zilikuwa zinampa attention!!..bila hizo timu ni mwehu tu kmmmk
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…