Ndugu msomaji elewa muktadha wa neno kuchongisha... vilevile kuchochea kunaweza kwenda sambamba na kuchonganisha "Mfano- Kuchochea Uchonganishi baina ya Yanga na TFF", manara kuitisha Press Conference ni kuchonganisha Yanga na TFF, kushurutisha viongozi wa yanga dhidi ya TFF ni jambo hatari kwenye soka, ukizingatia Manara hayupo kwenye nafasi ya kuizungumzia TFF au Yanga wala si kiongozi...Akili huna, hujui tofauti ya:
1. Kuchochea
2. Kuchonganisha
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mnafiki Jakaya Mrisho Kikwete!!