dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
-
- #201
Niko serious mkuu kesho. Itahoji kitenge kapata wapi pesa za kununuav8 lc 300/seriesYaani uko serious kbs mwanaume unahoji matumiz ya pesa za mwanaume mwenzako[emoji848]
Ninyi si ndio wale mkiona mwanamke wako e kapika samaki wakt uliacha dagaa u nakula huwezi kuhoji Kumbe mwanamke analiwa na kuhongwa na huna uwezo wa kuhojiN ajabu mwanaume kuhoji mwanaume mwenzio anapata wap pesa ....
Mnk nnNasikia beki hazikabi
Naona safari hii GSM wamemkazia meza aliyowaandalia ilibaki tupu, Mondi na Ommy nao wakampa tu ahadi hawakutoa kitu....Anajuwana na watu wazito wengi
Akimpiga kizinga GSM,akimfata Mo sema mo mgumu bahiri
Akiwafata wengine anawajuwa shuguli yake inaenda [emoji1]
Kuoa kuacha kutafuta mwingine kutengeneza matukio kwake biashara
Sahvi
Ova
Una dalili zote za Ushoger.Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday na kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night? Halafu baadae miezi miwili unachwa na kuanza kulalamikia wanawake.
Hivi wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa sasa mwanangu cheupe tumechoka na ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho.
Huenda Manara ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mambo Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa, sawa pesa natafuta sana ila siyo kufanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
SAwaaaaa okaySikia mwaya huyu mtu anauza wadada,nakuwaweka kwenye dau fulani kwenye kampuni fulani kwasababu fulani na hiyo ndoa ni yakibiashara ujue hilo
Wee una dalili za uwendawazimuUna dalili zote za Ushoger.
Hahahaha gsm wamesha muona mjingaNaona safari hii GSM wamemkazia meza aliyowaandalia ilibaki tupu, Mondi na Ommy nao wakampa tu ahadi hawakutoa kitu....
Kweli Ile ndoa ni ya kibiashara yule dada anatangaza ofisi ya kushona manguo ya harus na mitokoSikia mwaya huyu mtu anauza wadada,nakuwaweka kwenye dau fulani kwenye kampuni fulani kwasababu fulani na hiyo ndoa ni yakibiashara ujue hilo
Eh ndio , tena watapiga hela maana nimastaa unamuona rushyna ndii katengeneza hilo dili . Halafu wanajidau wanapigana kila muda fulani wanaachana na mtu waliooana ni mkataba umeisha wakutambukishana hapa mjini . Kama diamond kahamia yanga kwa manara manara ananyota anakubalika sio wa mchezo mchezoKweli Ile ndoa ni ya kibiashara yule dada anatangaza ofisi ya kushona manguo ya harus na mitoko
Anachokifanya ni biashara inayomuweka mjini anauza content mtandaoni jina likiwa juu automaticaly dili zitakuja tu. Iyo milioni 50 ni investment pesa haijatupwa hapo.Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday na kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night? Halafu baadae miezi miwili unachwa na kuanza kulalamikia wanawake.
Hivi wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa sasa mwanangu cheupe tumechoka na ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho.
Huenda Manara ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mambo Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa, sawa pesa natafuta sana ila siyo kufanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
Naomba nikuachie huu uzi uendeleze mnk mm nakosa Muda [emoji23]Eh ndio , tena watapiga hela maana nimastaa unamuona rushyna ndii katengeneza hilo dili . Halafu wanajidau wanapigana kila muda fulani wanaachana na mtu waliooana ni mkataba umeisha wakutambukishana hapa mjini . Kama diamond kahamia yanga kwa manara manara ananyota anakubalika sio wa mchezo mchezo