Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

N ajabu mwanaume kuhoji mwanaume mwenzio anapata wap pesa ....
Ninyi si ndio wale mkiona mwanamke wako e kapika samaki wakt uliacha dagaa u nakula huwezi kuhoji Kumbe mwanamke analiwa na kuhongwa na huna uwezo wa kuhoji

Shenzi wahed
 
Anajuwana na watu wazito wengi
Akimpiga kizinga GSM,akimfata Mo sema mo mgumu bahiri
Akiwafata wengine anawajuwa shuguli yake inaenda [emoji1]
Kuoa kuacha kutafuta mwingine kutengeneza matukio kwake biashara
Sahvi

Ova
 
Naona safari hii GSM wamemkazia meza aliyowaandalia ilibaki tupu, Mondi na Ommy nao wakampa tu ahadi hawakutoa kitu....
 
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday na kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night? Halafu baadae miezi miwili unachwa na kuanza kulalamikia wanawake.

Hivi wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa sasa mwanangu cheupe tumechoka na ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho.

Huenda Manara ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mambo Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa, sawa pesa natafuta sana ila siyo kufanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
Una dalili zote za Ushoger.
 
Hizo atakuwa anaolewa na taifa Ili vijana wawe busy kufatilia mambo yake... Taifa limejaa wambea na wadaku.. wako busy na umbea wa makabila wanasahau Wana ukame wa sukari na umeme
 
Aachwe tu Aishi ...maisha yake to the fullest atumie pesa yake anavyopenda....pesa zenyewe tunakufa tunaziacha
..pengine ameshajiwekezea vya kutosha mpaka na Cha wajukuuuu......hahahahahhaaa kutrend kwakwe pia ni pesa Mkuu....hapo atasign deal kibao za ubalozi kwasababu ya 50 ml yy ataingiza zaidi ya hiyo
 
Kweli Ile ndoa ni ya kibiashara yule dada anatangaza ofisi ya kushona manguo ya harus na mitoko
Eh ndio , tena watapiga hela maana nimastaa unamuona rushyna ndii katengeneza hilo dili . Halafu wanajidau wanapigana kila muda fulani wanaachana na mtu waliooana ni mkataba umeisha wakutambukishana hapa mjini . Kama diamond kahamia yanga kwa manara manara ananyota anakubalika sio wa mchezo mchezo
 
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday na kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night? Halafu baadae miezi miwili unachwa na kuanza kulalamikia wanawake.

Hivi wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa sasa mwanangu cheupe tumechoka na ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho.

Huenda Manara ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mambo Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa, sawa pesa natafuta sana ila siyo kufanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
Anachokifanya ni biashara inayomuweka mjini anauza content mtandaoni jina likiwa juu automaticaly dili zitakuja tu. Iyo milioni 50 ni investment pesa haijatupwa hapo.
 
Eh ndio , tena watapiga hela maana nimastaa unamuona rushyna ndii katengeneza hilo dili . Halafu wanajidau wanapigana kila muda fulani wanaachana na mtu waliooana ni mkataba umeisha wakutambukishana hapa mjini . Kama diamond kahamia yanga kwa manara manara ananyota anakubalika sio wa mchezo mchezo
Naomba nikuachie huu uzi uendeleze mnk mm nakosa Muda [emoji23]
 
Back
Top Bottom