Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

Mkuu kama kwa Tanzania tu unaweza kutambulika na watu takribani million 20,

Huu ni mtaji mkubwa sana, tena ukiwa na umaarufu kama haji, mitandaoni kuna
Subscribers, followers n. k.

Kutengeneza milioni mia mbili kwa siku kadhaa tu ni ishu easy.

Halafu pia jamaa ni jitu linapenda kuhurumiwa sana kutokana na rangi yake, na kwa mantiki hii watu wanajikuta wamempa ubalozi na mishe kibao hapa town.
Umeongea ambacho nilitaka kusema, mtaji wa Haji Manara ni public sympathy sababu yeye ni special group pale alipo halafu simba ilimjengea umaarufu mkubwa sana. Toka atolewe Simba ameamua ku capitalize kwenye upepo wa kuwa alionewa sana.

Akapewa ubalozi na Azam na Asas dairies. Hajakaa sawa GSM nao wakampa mkataba akaja kuoa mke kwa mbwembwe kuionesha Simba kuwa bila wao anaoa kifahari hela anazo akala michango kibao.. Mara kidogo ameachwa na mke kalia lia we kwamba kaonewa 😂😂😂 akapata demu mwengine ndio anataka amuoe tena ale michango.
 
🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈

🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩

🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈

🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩
 
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake

HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho

Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
Mzee tafuta hela uache makasiriko
Haya ndio maisha aliyochagua na ndio yanampa endorsements
 
Kwa hvyo Ni mradi wake mausuzi kuingiza kipata kitapeli
Manara hajaanza leo utapeli Alishatimuliwa ccm Mkoa wa DSM kwa utapeli , Picha za namna akivyopigwa pingu zimo humu jf

Yaani mpaka ccm ikufukuze kwa wizi basi ujue wewe ni balaa , huyu Decemba atatangaza ndoa nyingine ili akina GSM na Mzee wa Msoga wamchangie tena hela , hana aibu yaani
 
Mkuu kama kwa Tanzania tu unaweza kutambulika na watu takribani million 20,

Huu ni mtaji mkubwa sana, tena ukiwa na umaarufu kama haji, mitandaoni kuna
Subscribers, followers n. k.

Kutengeneza milioni mia mbili kwa siku kadhaa tu ni ishu easy.

Halafu pia jamaa ni jitu linapenda kuhurumiwa sana kutokana na rangi yake, na kwa mantiki hii watu wanajikuta wamempa ubalozi na mishe kibao hapa town.
Chai
 
Utulivu unahitajika... Hasa kwako uliyepaniki Kwa mapenzi na gharama za watu ambayo hayaingilii Financial Function ya familia yako ni Ujinga.... Tulia kama unashindia mboga za majani kama Mifugo jumatatu matembele, jumanne mnavu ,jumatano kabichi,alhamisi sukuma wiki, ijumaa mchicha ,jumamosi figiri ,jumapili mnakula ngogwe na bamia unawafanya wanao Mifugo...acha makasiriko....tafuta Hela ..Sina Hela... Ila nimepunguza makasiriko ...jitafute kenge mmoja Wewe.... Hutochukia mtindo wa maisha wa mwingine....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Manara hajaanza leo utapeli Alishatimuliwa ccm Mkoa wa DSM kwa utapeli , Picha za namna akivyopigwa pingu zimo humu jf

Yaani mpaka ccm ikufukuze kwa wizi basi ujue wewe ni balaa , huyu Decemba atatangaza ndoa nyingine ili akina GSM na Mzee wa Msoga wamchangie tena hela , hana aibu yaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama anajua Hilo anachukiaje ...!!? Mungu kabisa ... Naamini katika Mungu lakini Sio katika dini.... Ukiishi katika "Mfinyango wa Bajeti yako" tunaita "Budget Constraint"...hautochukia Bajeti ya jirani... Tujitafute jameni...
Kweli mkuu sioni ubaya wa anachokifanya haji maana ndio namna yake ya kutengeneza kipato.
 
Back
Top Bottom