dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
- #61
Utapeli tuBiashara hiyo watu wanapiga pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapeli tuBiashara hiyo watu wanapiga pesa
Umeongea ambacho nilitaka kusema, mtaji wa Haji Manara ni public sympathy sababu yeye ni special group pale alipo halafu simba ilimjengea umaarufu mkubwa sana. Toka atolewe Simba ameamua ku capitalize kwenye upepo wa kuwa alionewa sana.Mkuu kama kwa Tanzania tu unaweza kutambulika na watu takribani million 20,
Huu ni mtaji mkubwa sana, tena ukiwa na umaarufu kama haji, mitandaoni kuna
Subscribers, followers n. k.
Kutengeneza milioni mia mbili kwa siku kadhaa tu ni ishu easy.
Halafu pia jamaa ni jitu linapenda kuhurumiwa sana kutokana na rangi yake, na kwa mantiki hii watu wanajikuta wamempa ubalozi na mishe kibao hapa town.
Mzee tafuta hela uache makasirikoKila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake
HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho
Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
Manara hajaanza leo utapeli Alishatimuliwa ccm Mkoa wa DSM kwa utapeli , Picha za namna akivyopigwa pingu zimo humu jfKwa hvyo Ni mradi wake mausuzi kuingiza kipata kitapeli
Ungekuwa demu kila mwezi ungekuwa unaachwa sio kwa wivu huuAache upumbavu nyinyi ndio chawa wake
Ni tapeli Hilo jamaaa ila machawa wake wako hapa kunitukana tu wakt jamaaa wao Ni tapeliManara hajaanza leo utapeli Alishatimuliwa ccm Mkoa wa DSM kwa utapeli , Picha za namna akivyopigwa pingu zimo humu jf
Wapuuzi kama hawa hawajui tuKwenye hii Shughuri, Haji anaenda kuingiza Mkwanja Mrefu, kuliko pesa alotoa....!
Kasikilize wimbo wa FANYA WEWE - KIKOSI KAZI .... Au unasikiliza kina Zuchu!??...Sasa kafanikiwa nin yule boya na wee kuoa ao na kuacha ndio kafanikiwa
Kuomba michango kwa matajiti Kisha kuoa na kufanya birthday Kila mwaka ndoo maafnikio
Mtu kuwa mwzi na mkwepa kodi ndio kafanikiwa
Ishi we jamaa....acha kufatilia maisha ya Watu...Ni tapeli Hilo jamaaa ila machawa wake wako hapa kunitukana tu wakt jamaaa wao Ni tapeli
Nitafatilia had ya kwakoIshi we jamaa....acha kufatilia maisha ya Watu...
ChaiMkuu kama kwa Tanzania tu unaweza kutambulika na watu takribani million 20,
Huu ni mtaji mkubwa sana, tena ukiwa na umaarufu kama haji, mitandaoni kuna
Subscribers, followers n. k.
Kutengeneza milioni mia mbili kwa siku kadhaa tu ni ishu easy.
Halafu pia jamaa ni jitu linapenda kuhurumiwa sana kutokana na rangi yake, na kwa mantiki hii watu wanajikuta wamempa ubalozi na mishe kibao hapa town.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utulivu unahitajika... Hasa kwako uliyepaniki Kwa mapenzi na gharama za watu ambayo hayaingilii Financial Function ya familia yako ni Ujinga.... Tulia kama unashindia mboga za majani kama Mifugo jumatatu matembele, jumanne mnavu ,jumatano kabichi,alhamisi sukuma wiki, ijumaa mchicha ,jumamosi figiri ,jumapili mnakula ngogwe na bamia unawafanya wanao Mifugo...acha makasiriko....tafuta Hela ..Sina Hela... Ila nimepunguza makasiriko ...jitafute kenge mmoja Wewe.... Hutochukia mtindo wa maisha wa mwingine....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wewe ndiyo maana walikutukana kwa mambo kama haya matusi yanakuhusu ha ha ha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manara hajaanza leo utapeli Alishatimuliwa ccm Mkoa wa DSM kwa utapeli , Picha za namna akivyopigwa pingu zimo humu jf
Yaani mpaka ccm ikufukuze kwa wizi basi ujue wewe ni balaa , huyu Decemba atatangaza ndoa nyingine ili akina GSM na Mzee wa Msoga wamchangie tena hela , hana aibu yaani
Kama anajua Hilo anachukiaje ...!!? Mungu kabisa ... Naamini katika Mungu lakini Sio katika dini.... Ukiishi katika "Mfinyango wa Bajeti yako" tunaita "Budget Constraint"...hautochukia Bajeti ya jirani... Tujitafute jameni...Hiyo ndio kazi inayomuweka mjini.
Kweli mkuu sioni ubaya wa anachokifanya haji maana ndio namna yake ya kutengeneza kipato.Kama anajua Hilo anachukiaje ...!!? Mungu kabisa ... Naamini katika Mungu lakini Sio katika dini.... Ukiishi katika "Mfinyango wa Bajeti yako" tunaita "Budget Constraint"...hautochukia Bajeti ya jirani... Tujitafute jameni...
Kuna siri kubwa sana ya hawa watu maarufu na mambo wanayowafanya.Wee tuko pmj siyo haya mijitu mengine mtu anakwepa Kodi mnashangiliaa Kama majitu