smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
it's called showbiz. ni biashara tu kama biashara zingine ktk ulimwengu wa entertainment and celebrity lifestyle.Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake
HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho
Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
na kwa taarifa yako, sio manara ndio kailipa dstv bali ni dstv ndio imemlipa manara ili wapate haki ya kurusha live hilo tukio kwenye decoder yao.
unakumbuka harusi ya joti na ali kiba kuonyeshwa live na azamtv kupitia chaneli yao ya sinema zetu?. basi joti na kiba walivuta mkwanja mrefu kutoka azamtv.
NB:
naungana na wachangiaji wengine wanaokusimanga kuhusu kufatilia mambo ya watu. acha hii tabia, utakuja kufa na pressure. deal na maisha yako.