Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake

HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho

Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
it's called showbiz. ni biashara tu kama biashara zingine ktk ulimwengu wa entertainment and celebrity lifestyle.

na kwa taarifa yako, sio manara ndio kailipa dstv bali ni dstv ndio imemlipa manara ili wapate haki ya kurusha live hilo tukio kwenye decoder yao.

unakumbuka harusi ya joti na ali kiba kuonyeshwa live na azamtv kupitia chaneli yao ya sinema zetu?. basi joti na kiba walivuta mkwanja mrefu kutoka azamtv.

NB:
naungana na wachangiaji wengine wanaokusimanga kuhusu kufatilia mambo ya watu. acha hii tabia, utakuja kufa na pressure. deal na maisha yako.
 
Ni vizuri vijana mkawa na uelewa wa mambo .

Haji Manara kama alivyosema Ana maisha Yake halisi na ya mitandao , Haji anaweza kuwa na hela Ila sio Kama unavyofikiri haji ni MTU wa kawaida Sana kwenye PESA hata anapokaa kwao Temeke wailes hali haipo Kama mnavyoona Katika TV.

Hivyo usimkasirikie muache aokote aokote ili maisha yaende mbele.

Hao Dstv wamemlipa Haji , kwahiyo cool temperature
 
Ila Kwa kuangalia tu birthday ya Jana, tuliosoma Cuba tumeshaelewa Haji kapigwa Ile Dualis, maana bibie hakuwa na furaha hata robo kama kalazimishwa Nifah reporta tafadhali tulitee wambea wenzio report kamili kutoka katika chanzo Cha kuaminika
 
Mamlaka ya kudhibiti mambo mbali mbali iko kimya inamuogopa kisa Ni albino
Kusema ukweli huyu haji ni mpumbavu sana, watu wangapi wana hela duniani je wanafanya upumbavu kama wa huyu mtu wa dini?
Busara ni ucha Mungu atumie hela zake kwa busara kuna watoto yatima, wagonjwa na watu wenye mateso mbalimbali akatoe sadaka badala ya kuhangaika na BD na kuoa.
Kachagua upumbavu na hela ni zake ila mwisho ni majuto maana hao wanawake wakishapata hela wanamwacha.
 
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake

HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho

Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792

Pesa yake, dudu yake, wanawake wake, akiishiwa hata kulilia shida, tatizo lipo wapi?
 
Angetulia ccm angekua mbali, hivi pamoja na mbwembwe zote amekumbuka kujenga kweli manake apartment analipiwa na GSM gari alinunuliwa na GSM na anapenda kuwa karibu sana na waarabu, si watu wazuri hawana vya ewala ewala.
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] ajajenga anakah kwa gsm
 
Ni vizuri vijana mkawa na uelewa wa mambo .

Haji Manara kama alivyosema Ana maisha Yake halisi na ya mitandao , Haji anaweza kuwa na hela Ila sio Kama unavyofikiri haji ni MTU wa kawaida Sana kwenye PESA hata anapokaa kwao Temeke wailes hali haipo Kama mnavyoona Katika TV.

Hivyo usimkasirikie muache aokote aokote ili maisha yaende mbele.

Hao Dstv wamemlipa Haji , kwahiyo cool temperature
Tukio amelilipia najuwa Jana mlikesha kufatilia upuuz wake
 
Ila Kwa kuangalia tu birthday ya Jana, tuliosoma Cuba tumeshaelewa Haji kapigwa Ile Dualis, maana bibie hakuwa na furaha hata robo kama kalazimishwa Nifah reporta tafadhali tulitee wambea wenzio report kamili kutoka katika chanzo Cha kuaminika
Yaani unashindwa kukaa na mume wako Kuna 6*6 wee unashinda kumtizama tapeli haji [emoji23][emoji23]
 
Angetulia ccm angekua mbali, hivi pamoja na mbwembwe zote amekumbuka kujenga kweli manake apartment analipiwa na GSM gari alinunuliwa na GSM na anapenda kuwa karibu sana na waarabu, si watu wazuri hawana vya ewala ewala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kusema ukweli huyu haji ni mpumbavu sana, watu wangapi wana hela duniani je wanafanya upumbavu kama wa huyu mtu wa dini?
Busara ni ucha Mungu atumie hela zake kwa busara kuna watoto yatima, wagonjwa na watu wenye mateso mbalimbali akatoe sadaka badala ya kuhangaika na BD na kuoa.
Kachagua upumbavu na hela ni zake ila mwisho ni majuto maana hao wanawake wakishapata hela wanamwacha.
Braza una akili Sana ubarikiwe nataka watu wenye maono Kama wew humu siyo mijitu inasema tafuta pesa
 
Ni vizuri vijana mkawa na uelewa wa mambo .

Haji Manara kama alivyosema Ana maisha Yake halisi na ya mitandao , Haji anaweza kuwa na hela Ila sio Kama unavyofikiri haji ni MTU wa kawaida Sana kwenye PESA hata anapokaa kwao Temeke wailes hali haipo Kama mnavyoona Katika TV.

Hivyo usimkasirikie muache aokote aokote ili maisha yaende mbele.

Hao Dstv wamemlipa Haji , kwahiyo cool temperature
Haji anaishi temeke au Masaki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila Kwa kuangalia tu birthday ya Jana, tuliosoma Cuba tumeshaelewa Haji kapigwa Ile Dualis, maana bibie hakuwa na furaha hata robo kama kalazimishwa Nifah reporta tafadhali tulitee wambea wenzio report kamili kutoka katika chanzo Cha kuaminika
Kwani imekuajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana nimepitwaa wallah.
 
Back
Top Bottom