Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

Halituhusu bwana, bora tuwafuatilie kina samia na mawaziri wake ,maana hao wanaishi kwa kodi zetu.
Hao ndio matapeli kbsaaa kina samiaa napata kinyaaa nikisikiaa hayo majina sitaki kusiki kitu na lolote liwapate
 
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake

HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho

Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
subiri zimuishie mpaka smartphone ya kuposti huo ufahari wake wa sasa atakosa halafu ndio aje kutia hurumaaaaa tena kwa jamii imchangie 🐒

inashangaza sana siku izi mtu mzima kujifanya mtoto 🐒
 
subiri zimuishie mpaka smartphone ya kuposti huo ufahari wake wa sasa atakosa halafu ndio aje kutia hurumaaaaa tena kwa jamii imchangie [emoji205]

inashangaza sana siku izi mtu mzima kujifanya mtoto [emoji205]
Kbsaa mkuu alfu mbaya Zaid hata kujuwa Bei ya tofali hajui anaishi kwa gsm bure
 
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake

HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho

Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
Hayakuhusu. Tafuta hela wewe!
 
Back
Top Bottom