Mimi sijawahi kupenda mambo ya Haji lkn mfano uliona mabomu pale uwanjani? au vurugu iliyo sababishwa na Haji? je kuhusu kutoa nakala ya hukumu kuna ugumu gani? haya kuna kesi ngapi hapo TFF hazija tolewa hukumu iweje hii imekua haraka nipe majibuNi kweli , yawezekana TFF pana shida kubwa, lakini lazima tubalance story, hatuwezi kuhukumu mgogoro huu kwa kusikiliza A to Z ya upande mmoja!
Pili, ingekuwa ni wewe, professionally ungelitatuajw hili? Ungefanya ubabe kama Manara anavyofanya au ungelifuatilia kisheria zaidi?
Mjinga sana huyu, anataka kuitumia Yanga,asiichafue Yanga Kwa upuuzi wakeWakuu wapenzi wa soka na haki za binadamu hili linawahusu!
Psychologically, Manara inaonekana ana jaziba juu ya adhabu aliyopewa, yawezekana ameonewa lakin professionally hatumii hekima, Ni kama kuna mtu (ambaye anamaslahi binafsi na TFF) Yuko nyuma yake anampampu, maana pengine anajiona anawaexpose Karia na TFF lakini kwa msomi anaonekana anaropoka!
Kwa nini anataka attention ya watu kwa social media na si kufuata utaratibu wa kukata rufaa kupinga maamuzi?
Kwanini pamoja na maamuzi yaliyotolewa bado anatoa kauli za kuwa against nayo kana kwamba TFF na Manara mkubwa Ni Manara?
Kwanini Manara badala ya kutoa misimamo itakayoenda kuzima Moto lakini anatokwa na maneno ya kuukoleza Moto? Ni nani aliye nyuma ya pressure aliyonayo Manara?
View attachment 2303446View attachment 2303451
Mamulaka sio kukandamiza watu nikufuata sheriaKifupi Manara hajui maana ya mamlaka
Na Mchengelwa ni Yanga mwenzake kumbuka hilo......Na amevuka mipaka anamtuhumu waziri Mchengerwa kuwa ndiye ameshinikiza yeye kupewa adhabu hii. Huyu akapimwe akili yaelekea jani limeshaharibu ubongo wake
Mkuu, kwenye hili sakata Ni ngumu kuhukumu bila kubalance, yawezekana TFF wanamatatizo ya kiutendaji, lakin nani ajuaye kuwa hayo yote aliyoyasema Manara Ni kweli ? Maana TFF washakanusha .Sheria zinasema ndani ya Massa 72,muadhibiwa inabidi apate nakala ya hukumu yake Ila mpk sasa hajapewa,na ameenda kuomba nakala ya hukumu Mara Tatu bila kupewa
Manara kwanini aliitisha press ya kuomba radhi baada ya kwenda kwa Msomali,ujinga mwingi sana........Mamulaka sio kukandamiza watu nikufuata sheria
Yap, unaheshimu mamlaka, then unafuata sheria, suala la Manara lilitakiwa kuamliwa kisheria zaidi, sasa ile Yale maneno yote kwenye press ya nini kama si kutafuta huruma kwa watu kitu ambacho hakina msaada!Mamulaka sio kukandamiza watu nikufuata sheria
Yeye alifata sheria ipi? Je hapo nyuma amewahi kuwa na historia ya kufanya makosa, aliadhibiwa vipi?Mamulaka sio kukandamiza watu nikufuata sheria
Hivyo ni vitu vidogo sana umesikia sababu ya Yanga kucheza bila mashabiki mechi ya Rivers? Manara ni chizi ila kuna mda anaongea ukweli, Karia ni Rais wa football inakuaje anaupanda tena mechi ya final,Manara kwanini aliitisha press ya kuomba radhi baada ya kwenda kwa Msomali,ujinga mwingi sana........
Ulitaka waweke mdahalo? Siku TFF wanatoa hukumu si walikuja pekeyao mbona haukuhoji mtuhumiwa yupo wapi?Mkuu, kwenye hili sakata Ni ngumu kuhukumu bila kubalance, yawezekana TFF wanamatatizo ya kiutendaji, lakin nani ajuaye kuwa hayo yote aliyoyasema Manara Ni kweli ? Maana TFF washakanusha .
Tifuatifua Wana yao ila Manara alienda Kwa Karia kufanya nini mpaka akaitisha press ya kuomba radhi kama anayajua hayo?Hivyo ni vitu vidogo sana umesikia sababu ya Yanga kucheza bila mashabiki mechi ya Rivers? Manara ni chizi ila kuna mda anaongea ukweli, Karia ni Rais wa football inakuaje anaupanda tena mechi ya final,
Nmekuuliza uliona mabomu pale uwanjani? tuanzie hapoYeye alifata sheria ipi? Je hapo nyuma amewahi kuwa na historia ya kufanya makosa, aliadhibiwa vipi?
Huyu mtu hata historia yake tu inamhukumu, sijui ulimaanisha sheria gani.
Huyu anapenda kuiomba serikali imlinde.Wakuu wapenzi wa soka na haki za binadamu hili linawahusu!
Psychologically, Manara inaonekana ana jaziba juu ya adhabu aliyopewa, yawezekana ameonewa lakin professionally hatumii hekima, Ni kama kuna mtu (ambaye anamaslahi binafsi na TFF) Yuko nyuma yake anampampu, maana pengine anajiona anawaexpose Karia na TFF lakini kwa msomi anaonekana anaropoka!
Kwa nini anataka attention ya watu kwa social media na si kufuata utaratibu wa kukata rufaa kupinga maamuzi?
Kwanini pamoja na maamuzi yaliyotolewa bado anatoa kauli za kuwa against nayo kana kwamba TFF na Manara mkubwa Ni Manara?
Kwanini Manara badala ya kutoa misimamo itakayoenda kuzima Moto lakini anatokwa na maneno ya kuukoleza Moto? Ni nani aliye nyuma ya pressure aliyonayo Manara?
View attachment 2303446View attachment 2303451
Anazingua tuManara professionally Yuko poor Sana!
Futa kauli kaka mkubwaWanayanga na mavi yao kwny chupi duh.
Kuomba radhi haiwezi kua sababu ya kumuhukumu mtu na kanuni ambazo hazija sajiliwa, haya niambie tangu uanze kufatilia mpira nani kasha hukumiwa 20M ? Kuna kosa kubwa zaidi ya kugomea mechi mbona hawakupewa faini kubwa kiasi hicho?Tifuatifua Wana yao ila Manara alienda Kwa Karia kufanya nini mpaka akaitisha press ya kuomba radhi kama anayajua hayo?
Kwani kulikuwa na tukio la kivita pale uwanjani?Nmekuuliza uliona mabomu pale uwanjani? tuanzie hapo