Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hayo ya hukumu yapo kwenye kanuni zao,ila kwasababu hareason ndiyo maana alinasa kwenye mtego,kuitisha press na kuanza kuomba radhi, huwezi kuomba radhi kama hujakosa,labda huko kwenu mtu huwa anaomba radhi hata kama hana kosa............Kuomba radhi haiwezi kua sababu ya kumuhukumu mtu na kanuni ambazo hazija sajiliwa, haya niambie tangu uanze kufatilia mpira nani kasha hukumiwa 20M ? Kuna kosa kubwa zaidi ya kugomea mechi mbona hawakupewa faini kubwa kiasi hicho?