Haji Manara anatafuta nini zaidi? Nani yuko nyuma yake?

Haji Manara anatafuta nini zaidi? Nani yuko nyuma yake?

Wewe nae unachong’ang’ania sijui hata kama unakielewa, tatizo lako ni hukumu kutoka haraka au nini? Wakichelewesha tatizo wakiwahi tatizo.

Hii kesi alipewa taarifa na imeendeshwa kwa taratibu zote. Tuambie sasa ni kesi ipi inayopigwa kalenda au ina muda mrefu haijatolewa hukumu.

Swala la Nakala ya hukumu unataka wao TFF ndio waanze kumtafuta kumkabidhi? Alienda wakamnyima? Kuna taratibu na muda wa kupewa Nakala ya hukumu, muda huo umepita? Au unaongea ushabiki.
Mhh mkuu ulisikiliza press ya haji kweli?
 
TFF wamekanusha kwa maandishi madai ya Haji kuwa si kweli alichozungumza kwenye press yake. Wewe unataka tumwamini nan kati yake na TFF?
TFF kakanusha hoka Moja tu kwenye barua yake tena ya kusema msomali hakumwita kuomba msamaha hoja ipo tena TFF amekanusha kwenye barua yake

Hoja ya kubania nakala ya hukumu kakanusha wapi weka barua ya TFF hapa
 
Ndio maana haji anaomba serikali iunde tume huru
Iunde tume huru kwa ajili ya Haji? Haji ni nani katika hii Nchi hadi aundiwe tume,halafu Serikali hiyo hiyo anayoishutumu kupitia kwa Waziri mwenye dhamana ya michezo kuwa alishabikia yeye afungiwe ndiyo anataka iunde tume? Au anamwagiza Mkuu wa Nchi kwa lugha nyingine?
 
TFF kakanusha hoka Moja tu kwenye barua yake tena ya kusema msomali hakumwita kuomba msamaha hoja ipo tena TFF amekanusha kwenye barua yake

Hoja ya kubania nakala ya hukumu kakanusha wapi weka barua ya TFF hapa
Wewe nae acha kutuongopea,aliyekanusha ni Katibu kwakuwa Haji alimsingizia Katibu kuwa alimuomba msamaha,Karia anaingiaje hapa? Halafu nyie Uto mnamwita Karia Msomali na Hersi yeye ni mmatumbi siyo?
 
Watu hata hawajasikiliza press Wana toa mawazo yao kichwani mkuu
Umeulizwa swali,je muda wa kutoa nakala ya hukumu umepita? Yani unaendeshwa na mihemko ya mropokaji Manara.
 
Yalipigwa baada ya mchezo, mashabiki walivamia uwanja. Matukio kama hayo huwa hamuoneshwi kwenye tv ili kulinda brand ya ligi yetu.
Wewe house girl kaoshe vyombo haya mambo ni oversize kwako
 
Hivi kweli kabisa Serikali iunde tume kujadili huyu mhuni?
Screenshot_20220725-162904.jpg
JamiiForums-157563313.jpg
JamiiForums289186523.jpg
IMG-20210908-WA0004.jpg
 
Umeulizwa swali,je muda wa kutoa nakala ya hukumu umepita? Yani unaendeshwa na mihemko ya mropokaji Manara.
Achana na kuuliza swali la ajabu uliza la maana kwa nini TFF wakifuatwa kutoa nakala ya hukumu wanajizungusha
 
mlio karibu na manara mwambieni manara asicheze na serikali ...atapotea mazima na tutamsahau...
 
Nyuma yake kuna mwiko
Wakuu wapenzi wa soka na haki za binadamu hili linawahusu!

Psychologically, Manara inaonekana ana jaziba juu ya adhabu aliyopewa, yawezekana ameonewa lakin professionally hatumii hekima, Ni kama kuna mtu (ambaye anamaslahi binafsi na TFF) Yuko nyuma yake anampampu, maana pengine anajiona anawaexpose Karia na TFF lakini kwa msomi anaonekana anaropoka!

Kwa nini anataka attention ya watu kwa social media na si kufuata utaratibu wa kukata rufaa kupinga maamuzi?

Kwanini pamoja na maamuzi yaliyotolewa bado anatoa kauli za kuwa against nayo kana kwamba TFF na Manara mkubwa Ni Manara?

Kwanini Manara badala ya kutoa misimamo itakayoenda kuzima Moto lakini anatokwa na maneno ya kuukoleza Moto? Ni nani aliye nyuma ya pressure aliyonayo Manara?

View attachment 2303446View attachment 2303451
 
Yule dada ni miongoni mwa wadada imara sana,kwa hulka za wanawake wengi ckutegemea kama angeweza kukaa kmya bila kujibu lolote
Huyu Jamaa alimtukana Yule Dada wa Simba kale kadada kalikaa kimyaaaa bila hta kujibu ...Alijua Manara Ni mtu wa Aina gan

Angekaa kimya akate rufaa kimya kimya


Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Sheria zinasema ndani ya Massa 72,muadhibiwa inabidi apate nakala ya hukumu yake Ila mpk sasa hajapewa,na ameenda kuomba nakala ya hukumu Mara Tatu bila kupewa
Aliifuata akanyimwa? Au anaosubiri pale masaki kwenye apartment aliyopangiwa na GSM
 
Back
Top Bottom