Haji Manara anatafuta nini zaidi? Nani yuko nyuma yake?

Haji Manara anatafuta nini zaidi? Nani yuko nyuma yake?

Sheria zinasema ndani ya Massa 72,muadhibiwa inabidi apate nakala ya hukumu yake Ila mpk sasa hajapewa,na ameenda kuomba nakala ya hukumu Mara Tatu bila kupewa
Unamjua vizuri Manara? Au unamsikia tu? Jamaa kwa kutunga stori za uongo hajambo . Ukute hata hiyo nakala ya hukumu hajawahi omba au alishapewa ila kwenye vyombo vya HabarI anasema hajawahi pewa.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Sheria gani imevunjwa?
Iweke hadharani hapa uthibitishe usemi wako!

Pili, Mimi siko upande wowote, ishu Ni kuwa Manara angefuatilia kisheria zaidi na sio kuzungumza mambo mengi yanayoenda kuchochea hukumu yake
Anafutilia vp ikiwa kaomba nakala ya hukumu akate rufaa wahuni Wana zingua afanye nini
 
Unamjua vizuri Manara? Au unamsikia tu? Jamaa kwa kutunga stori za uongo hajambo . Ukute hata hiyo nakala ya hukumu hajawahi omba au alishapewa ila kwenye vyombo vya HabarI anasema hajawahi pewa.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Leo katibu wa TFF kamjibu manara ingekuwa anayo sema ni uongo angesema ila kauchuna Ina maana ni kweli hawajatoa nakala ya hukumu yaani kifupi wanaendesha mambo kimaghumashi tff
 
Mimi sijawahi kupenda mambo ya Haji lkn mfano uliona mabomu pale uwanjani? au vurugu iliyo sababishwa na Haji? je kuhusu kutoa nakala ya hukumu kuna ugumu gani? haya kuna kesi ngapi hapo TFF hazija tolewa hukumu iweje hii imekua haraka nipe majibu

Wewe nae unachong’ang’ania sijui hata kama unakielewa, tatizo lako ni hukumu kutoka haraka au nini? Wakichelewesha tatizo wakiwahi tatizo.

Hii kesi alipewa taarifa na imeendeshwa kwa taratibu zote. Tuambie sasa ni kesi ipi inayopigwa kalenda au ina muda mrefu haijatolewa hukumu.

Swala la Nakala ya hukumu unataka wao TFF ndio waanze kumtafuta kumkabidhi? Alienda wakamnyima? Kuna taratibu na muda wa kupewa Nakala ya hukumu, muda huo umepita? Au unaongea ushabiki.
 
Unamjua vizuri Manara? Au unamsikia tu? Jamaa kwa kutunga stori za uongo hajambo . Ukute hata hiyo nakala ya hukumu hajawahi omba au alishapewa ila kwenye vyombo vya HabarI anasema hajawahi pewa.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Zeruzeru Manara kwa sasa amekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachwa aruke ruke kabla ya kukata roho
 
Kwa press ya leo huyu jamaa ni mtupu sana kichwani, mdomo unamsaidia
 
Mimi sijawahi kupenda mambo ya Haji lkn mfano uliona mabomu pale uwanjani? au vurugu iliyo sababishwa na Haji? je kuhusu kutoa nakala ya hukumu kuna ugumu gani? haya kuna kesi ngapi hapo TFF hazija tolewa hukumu iweje hii imekua haraka nipe majibu
Hivi maneno ya kutamka Haji ni ya kuyaamini Haji ana kauli mbilimbili ni mwongo kama utaskia maneno ya haji na kuyaamini pasi kupima unakosea,huyu mtu alishawahi kukana maneno yake kudai labda alikua amelewa[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Unamjua vizuri Manara? Au unamsikia tu? Jamaa kwa kutunga stori za uongo hajambo . Ukute hata hiyo nakala ya hukumu hajawahi omba au alishapewa ila kwenye vyombo vya HabarI anasema hajawahi pewa.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Aya sawa coz we ndio mke wake Wa zamani ndo unamjua vzr
 
Ulitaka waweke mdahalo? Siku TFF wanatoa hukumu si walikuja pekeyao mbona haukuhoji mtuhumiwa yupo wapi?
Afate sheria aache kulalamika haliakuwa kuna taratibu za kufata,asitafute huruma ya watu.
 
Tatizo hauja sikiliza umekuja tu kanzisha uzi ukiwa bias huwezi elewa mimi nlikua namuona Haji ana matatizo ila kwa hio press nmepata picha hapo TFF pana shida

Press ya maneno yake ndiyo inakuaminisha hivyo? Hayo ni maneno ya kujidefend tu, lakini kwa Shirikisho lolote lile duniani, angekula ban tu! Mengine yote ni porojo.
 
Back
Top Bottom