Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Wewe umeomba tukuonyeshe kipengele cha kanuni kilichotumika kumhukumu Manara miaka miwili &20M na ukasema tusipoleta basi haikuwa haki, na mimi nimekuomha uniletee kipengele cha kanuni kilichotumiwa na CAF kuipa Simba Sc faini ile baada ya kuwasha moto uwanjani, maana zote hizi ni phenomenon za kimpira. Ile ya CAF ilionekana sawa bila kuomba kanuni, ila hii ya Manara ndio lazima tuweke wazi kipengele kilichotumiwa??Kuna mahusiano gani hapo au umevuta kitu kikali
Ila kwakuwa akili zako hazifikiri nje ya box, ulikuwa ni vigumu kunielewa.