Haji Manara anatafuta nini zaidi? Nani yuko nyuma yake?

Haji Manara anatafuta nini zaidi? Nani yuko nyuma yake?

Kuomba radhi haiwezi kua sababu ya kumuhukumu mtu na kanuni ambazo hazija sajiliwa, haya niambie tangu uanze kufatilia mpira nani kasha hukumiwa 20M ? Kuna kosa kubwa zaidi ya kugomea mechi mbona hawakupewa faini kubwa kiasi hicho?
Hayo ya hukumu yapo kwenye kanuni zao,ila kwasababu hareason ndiyo maana alinasa kwenye mtego,kuitisha press na kuanza kuomba radhi, huwezi kuomba radhi kama hujakosa,labda huko kwenu mtu huwa anaomba radhi hata kama hana kosa............
 
Wakkati yupo simba waandishi wote walikua wanataka apigwe pini nzuri maana hana nizamu leo yupo yanga wanamtetea duh wabaya wa2
Mbona hujiulizi kwanini kipindi ambacho yupo Simba hakufungiwa licha ya maneno yake hayo? Ndo ujue kuwa Rais wa TFFF na kamati yake wameleta uonevu
 
Huna

Huna unachojua,toa kwanza huo mshale uliopo nyuma ya matrqko yako
Wanayanga bhana ndiyo maana Manara wenu mnaemshabikia alishatanabaisha tofauti na Baba yake na Rais mstaafu Kikwete wengine wote hamnazo, kwa comment yako hii inadhihirisha wazi utupu wa akili yako, unawaza matusi badala ya kujikita kwenye hoja iliyopo mezani
 
Hata mwendazake aliwahi kumuonya juu ya uropokaji wake
1658823690891.jpg
 
Ndio maana haji anaomba serikali iunde tume huru
Haji mwenyewe anamshutumu wazir mwenye dhamana ya michezo kuwa ndye aliyetoa pressure, pili, kwenye maswala ya michezo hailuhusiwi serikali kutoa hukumu Wala kuamua migogoro ya kimichezo. Taratibu ziko wazi ndg
 
Back
Top Bottom